Forbes yatangaza watu 10 wenye ushawishi zaidi Duniani

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,940




Kiongozi wa China Xi Jinping ndiye mtu mwenye ushawishi Zaidi duniani, kwa mujibu wa jarida la Forbes. Amechukua nafasi hiyo baada ya bunge China kumpa mamlaka zaidi na kuondoa kikomo cha muhula wa rais.

Jingping amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Rais Vladimir Putin wa Urusi ambaye kwa sasa anashika nafasi ya pili.

World Most [HASHTAG]#PowerfulPeople[/HASHTAG] List of forbes [HASHTAG]#forbes[/HASHTAG]

1. Xi Jinping
2. Vladimir Putin
3. @realDonaldTrump
4. Angela Merkel
5 @JeffBezos amazon
6. Pope Francis
7. @BillGates
8. Mohammed bin Salman Al Saud
9. @narendramodi
10. Larry Page GOOGLE
 
Inaonekana nguvu ya ushawishi havitengamani na pesa, ama pesa inaleta nguvu ya ushawishi, au nguvu ya ushawishi inapelekea pesa.
 
Huyo wa saudia muuwaji mkubwa, ameuwa maelfu ya wanawake na watoto Yemen, wamempa hiyo nafasi coz Ana hela, MBWAAAA
 
Unajua sio kila wanachosema hawa jamaa kina ukweli. Inategemea wanalengo gani na huo utafiti wao umejikita kwa watu gani.

Huwezi kusema ushawishi duniani wakati kuna watu hata hawamfahamu huyo rais wa China au US. Inamaana Burundi au Rwanda na Uganda napo wana ushawishi? Ushawishi wa nchi moja au kundi la watu unafanya uwakilishe dunia nzima?

Ndio haya mambo Nyerere alisema jambo la kijinga likisemwa kiingereza au na mzungu linaonekana la maana.
 
Siku chache sana atakuwa Pope namba moja ASA pale akiamia Jerusalem. Note my word
 
Oops Bora nimemwona
Boss wangu wa zaman wa Area D!.

Halafu Putin tangu ajitoe kule kwenye project kadorora!.

Ila huyu gates naona mpango aliopewa kashindwa kuufanikisha ,kuna mty anandaliwa kumrith!.

Congratulations papa wetu!
Japo blaq papa atachukia tena kama muda ule!.

NB: DUNIA INA SIRI KUBWA SANAA+MENGI YA KUJIFUNZA

Cc:mad:zitto jr
 
Back
Top Bottom