For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

Hivi ni kwamba watanzania hatufahamu historia au tunapuuza historia? kuna gani geni katika hilo? Kama tutatulia na kukumbuka historia ya miaka minne tu iliyopita hakuna jipya wwla la kushangaza.

Rweyemamu alishiriki katika kampeni wa mtandao wa kikwete ambao ulikuwa na washirika saba ambao kati yao rostan alikuwepo. kwa uhusiano huo la ajabu ni lipi?

hebu toeni mpya sasa hizo za zamani.
 
Mkuu you make me very proud of you..This is what we want to see here at JF
 
Hivi ni kwamba watanzania hatufahamu historia au tunapuuza historia? kuna gani geni katika hilo? Kama tutatulia na kukumbuka historia ya miaka minne tu iliyopita hakuna jipya wwla la kushangaza.

Rweyemamu alishiriki katika kampeni wa mtandao wa kikwete ambao ulikuwa na washirika saba ambao kati yao rostan alikuwepo. kwa uhusiano huo la ajabu ni lipi?

hebu toeni mpya sasa hizo za zamani.

Kwa ufupi unamaanisha "mavi ya kale hayanuki"?
 
Enigma mkuu, heshima zote, actually tatizo ni kuwa hatupendi kusoma historia na kufanya analysis. Mimi nimeipitia kwa hatua barua yako na ninaweza kusema kuwa it speaks alot to the character of Salva Rweyemamu and I have been able to discern the following about him:
1. He is a very intelligent man - anaonekana kuwa he knows what he is talking about and he had foresight at that point in time
2. At that point, he was a very bitter and broken man - aliona kama vile jasho alizotoa hajavuna chochote. Hence the very bitter lines in the letter, but it could be understandable because in his mind that is the way the world works.
3. He has since lost any foresight he had and his objectivity - nadhani baada ya kukumbatiwa na kuwekwa katika kundi ameamua sasa kusahau mizizi yake ya uandishi.
Inasikitisha sana.

Otherwise I think that this is most interesting to ex-workers of Habari Coporation kama akina Tagalile, and also to historians.

Thank you again Enigma kwa kazi nzuri!
 
Arudi kufanya nini?
Waacheni wafu wapumzike.
Walifanya sehemu yao.
Lini na ninyi wa kizazi hiki, mtafanya sehemu yenu?

Mkuu sehemu zetu tunafanya. Na ndio maana tumeanza kumwombea Mkuu awamu nyingine hadi 2015. Hata hivyo hatuna hakika nini kitaendelea baada ya hapo. Pia hata hatujui akimaliza ngwe yake atakimbilia wapi kwani mwenzie Ben anasota kwa Pressure inayopanda na kushuka kila baada ya dakika 10. Lakini tutajaribu kutafuta mkakati mwingine. Itabidi tuige mfano wa Museni ili JK wetu aendeleze mazuri anayolifanyia taifa letu. Kelele za mlangoni tu.... hatuna muda wa kusumbuana na Ze utamu wanaomkosea adabu kipenzi na mkombozi wa Watanzania (Musa wetu)!
 
heshima mbele mazee.
Wanajua wakisema tu kachemchem ka vijisenti kwishney anayeweza labda dr tu wengine cjui.
Anyway hii nji hiiiiiiii. Tatizo . Shuka bwana shuka .
sikuiti uhukumu ila shuka....
Mbona uko mbali.....
Shuka bwana..
Shuka bwana shuka utuokoe...
 
duh.... scratch my back, i scratch yours!!
It good to pay favours, especially in the country of wadanganyika!!!!!
 
Mkuu sehemu zetu tunafanya. Na ndio maana tumeanza kumwombea Mkuu awamu nyingine hadi 2015. Hata hivyo hatuna hakika nini kitaendelea baada ya hapo. Pia hata hatujui akimaliza ngwe yake atakimbilia wapi kwani mwenzie Ben anasota kwa Pressure inayopanda na kushuka kila baada ya dakika 10. Lakini tutajaribu kutafuta mkakati mwingine. Itabidi tuige mfano wa Museni ili JK wetu aendeleze mazuri anayolifanyia taifa letu. Kelele za mlangoni tu.... hatuna muda wa kusumbuana na Ze utamu wanaomkosea adabu kipenzi na mkombozi wa Watanzania (Musa wetu)!

Post kama hizi ndo natamani niwe naziwekea I dislike it? Tusaidieni to 'accredit' vipi post ambazo zinatukera?
 
...This is what we want to see here at JF

Sawa, vema, "haya ndio tunataka kuyaona hapa JF," basi lete tuzione. Kalete nyaraka za siri hapa JF tuzione.

Si ndio unazotaka zije hapa? Basi kazilete basi, kigumu nini?
 
Sawa, vema, "haya ndio tunataka kuyaona hapa JF," basi lete tuzione. Kalete nyaraka za siri hapa JF tuzione.

Si ndio unazotaka zije hapa? Basi kazilete basi, kigumu nini?
shehe kigumu ni kuzipata. ila kuzipost hatuna shaka maana tuna hakika tunafanya hivi kwa heshima ya nchi yetu.
We dilunga unazo? haya zipost basi. maana mie sina
 
FP.. wenzio katika hili wamekosa usingizi.. hadi wanatusingizia wengine kuwa ndio wamiliki wa zeutamu.. !!

Mzee Mwenzangu;

Mie nawalaumu UWT. Siamini kama kabisa kuwa mwenye akili anashindwa kutambua kuwa "vichwa" vya humu sio vya kwenda Zeutamu!!!!

Kweli kabisa Ze UWT wameshindwa kumpata huyo ze utamu?!!!, Mbona sio kazi kubwa ukiwa na resources?

Wamuulize yule aliyekuwa anapeleka picha mwanzoni na kudai hongo.... yule yule mwenye tabloids kibao bongo... Kama andai hamjui basi kweli ni mjinga!
 
shehe kigumu ni kuzipata.

Sasa Shehe, kama mnajua kigumu ni kuzipata kwa nini watu wanalia lia oooh haya ndio tunataka JF mtuletee.... oooh hatutaki kuchambua mabandiko ya magazeti ya Bubu, tunataka mtuwekee siri za serikali. Wewe umeibua siri gani? Tanzania hakuna Freedom of Information Act kama kiwanja unaenda unajaza fomu kudai transcripts za mazungumzo ya Rais na Rostam wanakupa. Anaeona ni rahisi kuzipata, si akazilete?
We dilunga unazo? haya zipost basi. maana mie sina
Mimi umeona nimemlalamikia Enigma na Invisible kwa nini hawaleti siri za serikali more often? Kina Invisible wameshaanzisha jamvi, wakali popularize, wakali maintain, bure. Mwenye nyeti, mwenye siri za serikali, mwenye nyaraka za nchi za ufisadi, na abandike, sio alalamike kwamba wingine hawajambandikia. Bandika wewe basi.
 
hawa wakina salva wataendelea kutumika kama kondom then mtumiaji akiko...ataitupa na kuona kinyaa...

typical mafia style
 
Jamani mimi naomba muipost hiyo barua hapa ili kila mtu aione, maana mimi ni mmoja wapo ambao siwezi kuifungua.
Msaada kwenye tuta.
 
Mzee Mwenzangu;

Mie nawalaumu UWT. Siamini kama kabisa kuwa mwenye akili anashindwa kutambua kuwa "vichwa" vya humu sio vya kwenda Zeutamu!!!!

Kweli kabisa Ze UWT wameshindwa kumpata huyo ze utamu?!!!, Mbona sio kazi kubwa ukiwa na resources?

Wamuulize yule aliyekuwa anapeleka picha mwanzoni na kudai hongo.... yule yule mwenye tabloids kibao bongo... Kama andai hamjui basi kweli ni mjinga!

Hawa jamaa wanapoteza muda bure, wanajua/hawajui wanalolifanya. Kwa kweli mambo yalivyo nchi hii ina madudu mengi. Watu wanapenda sana kutumia migongo ya watu kurutubisha matumbo yao. BAdala ya kuangalia kazi na matokeo, wanafikiria kwanza madili tu. Wakisikia FP anaweza kusaidia, wanataka kumtumia na wewe wanufaike.
 
Jamani this might be a record breaker...endeleeni maana as time goes by hizi thanks zitakuwa kubwa zaidi

Nadhani itakuwa si vibaya kuirudisha ile thread ya SALVA RWEYEMAMU SI MTANZANIA

911 (Yesterday), Alpha (Yesterday), Aluta (Yesterday), AmaniGK (Today), Baba Ubaya (Yesterday), BabaDesi (Yesterday), Baba_Enock (Yesterday), Bi Tarabushi (Yesterday), Bi. Senti 50 (Yesterday), bigtom (Yesterday), Bint (Yesterday), bob (Yesterday), Bubu Ataka Kusema (Yesterday), Bulesi (Yesterday), Burn (Yesterday), Chief (Yesterday), Companero (Today), COMRADE44 (Yesterday), Counterpunch (Yesterday), Dan M (Yesterday), Dark City (Yesterday), Dilunga (Yesterday), dmaujanja1 (Today), Eeka Mangi (Yesterday), FDR.Jr (Yesterday), Game Theory (Yesterday), Ghwakukajha (Yesterday), globarch (Yesterday), Haki.tupu (Yesterday), Halisi (Yesterday), Hofstede (Yesterday), ibambasi (Yesterday), Interested Observer (Yesterday), Invisible (Yesterday), Jafar (Yesterday), Jasusi (Yesterday), kela72 (Yesterday), Kidatu (Yesterday), Kilinzibar (Yesterday), Kinyamana (Yesterday), Kipunguni (Today), kiteitei (Yesterday), Kizimkazimkuu (Today), Komavu (Yesterday), Kuntakinte (Yesterday), LazyDog (Yesterday), lemunyake (Yesterday), limbani (Yesterday), Lusajo (Today), Lyampinga (Yesterday), Maamuma (Yesterday), Maane (Yesterday), macho_mdiliko (Yesterday), Mafuchila (Yesterday), Mag3 (Yesterday), Magezi (Yesterday), Makaayamawe (Yesterday), Mama Lao (Yesterday), Manta (Yesterday), Masaki (Yesterday), Maskini Mimi (Yesterday), matuse (Today), Mbalamwezi (Yesterday), MC (Yesterday), Mchaga (Yesterday), Mdondoaji (Yesterday), Mfamaji (Yesterday), Mfwatiliaji (Yesterday), Mkaguzi (Today), Mkandara (Yesterday), Mlalahoi (Yesterday), Mnyamahodzo (Yesterday), moelex23 (Yesterday), Morani75 (Yesterday), Mpendanchi-2 (Yesterday), Mpita Njia (Yesterday), msabato masalia (Yesterday), mtimti (Yesterday), Mtindiowaubongo (Yesterday), mTz (Yesterday), Mzalendohalisi (Yesterday), Mzawa Halisi (Yesterday), Mzee Mwanakijiji (Yesterday), mzeeba (Yesterday), Njimba Nsalilwe (Yesterday), Nono (Yesterday), NTIRU (Yesterday), Nurujamii (Yesterday), nyauba (Yesterday), Nziku (Yesterday), Ogah (Yesterday), Outlier (Yesterday), PainKiller (Yesterday), Pasco (Yesterday), Realist (Yesterday), rmashauri (Yesterday), rolemodel (Yesterday), Sabode (Yesterday), selemala (Yesterday), Selous (Yesterday), semilong (Yesterday), shaban (Today), shalom (Yesterday), Shedafa (Yesterday), SMU (Yesterday), Spear (Yesterday), SpinDoctor (Yesterday), Superman (Yesterday), Susuviri (Today), Tina (Today), Tristan (Yesterday), Tshala (Today), tzengo (Yesterday), urithiwetu (Yesterday), Waberoya (Yesterday), wembemkali (Yesterday), WomenofSubstanc (Yesterday), Yebo Yebo (Yesterday), Yo Yo (Yesterday), Zak Malang (Yesterday), Zanaki (Yesterday), Zed (Yesterday)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom