Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Bora urudi rivas
Unahamia kwa nani vile?
yani nivutiwe nawe afu nihame kwa mwingne loh! Nakufanyia utafiti!! Btw- ulivyosema ni kweli kabisa ,ushauri murua tena hizo avatar za warembo ndo wengine hoi bintaabani !tumeshashuhudia hapa thread kibao watu wakipondana baada ya kukutana huko na ni sababu hiyo ya mategemeo makubwa!!