For those who fall in love with someone here

For those who fall in love with someone here

....Nina uzoefu kidogo na hili mkuu..wakati mwingine mtu anaweza kuweka matarajio makubwa sana...na ukimwambia twende taratibu inakua shida...nisiongee sana mkuu...hata hivyo hayo mambo yalosha isha

Mkuu umenikumbusha jambo!
 
Hizo dili na zitibuke tu

Uliniambia nini?
Kwa taarifa yako me siachi nitakomaa hapa hapa mpaka nipate mke tena yule yule ninaye mwazia kwa kuangalia michango yake na avata yake...
Wala hapa hauja niharibia!
 
Kwa taarifa yako me siachi nitakomaa hapa hapa mpaka nipate mke tena yule yule ninaye mwazia kwa kuangalia michango yake na avata yake...
Wala hapa hauja niharibia!

We endelea tu ila tusilaumiane!!
 
Oh heck yeah...

Sipendi kusemwa vibaya na mijitu ambayo (1) hainijui kabisa, (2) inasema uongo (3) inasema uzushi.

Humjui mtu, kaa kimya, nyamaza. Siyo kuanza kumzushia kana kwamba umemzaa wewe wakati hata akipishana na wewe barabarani huwezi kujua kama ndo yeye.

aisee! Pole sana!
 
Kwa taarifa yako me siachi nitakomaa hapa hapa mpaka nipate mke tena yule yule ninaye mwazia kwa kuangalia michango yake na avata yake...
Wala hapa hauja niharibia!

wacha wee!! Hongera!! Usisite kutupa mrejesho!!
 
Wanapretend wema, utiifu, uzuri, tabia nzuri, HB, elimu, n.k mkuu

Wakati mwingine JF inashangaza sana

Humu hakuna wala tigo
Humu wanawake wote wanamapenzi ya kweli,hawataki mwanaume mwenye pesa au madaraka,wenyewe wanataka mtu kama alivyo
Humu hakuna ambae ana mpango wa kumtenda mwenzake
Humu kila kijana ana mapenzi ya kweli

Sasa unaweza kujiuliza huko mtaani kungekuwa kama kulivyo kama hawa wapo hivi kweli?
Hawa hawa ndio waliopo mitaani na hawa ndio sample ya hao wa mitaani sasa sijui maana yake nini

Avatar fake,michango fake hadi watu fake!!
 
Kwa taarifa yako me siachi nitakomaa hapa hapa mpaka nipate mke tena yule yule ninaye mwazia kwa kuangalia michango yake na avata yake...
Wala hapa hauja niharibia!

Hahaaa,tena si ajabu mke mwenyewe nikawa mie
 
Back
Top Bottom