For those who fall in love with someone here

For those who fall in love with someone here

Inategemeana na aina ya mahusiano utakayo, watu wanakutana kwa dhamira tofauti tofauti.
 
Picha zipi hizo mrembo?

Wengine wakiona watu humu wanaandika kiingreza tayari wanajua mambo safi kumbe hakuna kitu,wengine picha zikitundikwa humu wanakua hoiii
Wengine wanapenda avatar
 
Excel nilijua hutakua mchangiaji hapa maana inaonesha wewe ni affected wa PM. Anyway mapenzi ya humu hayachukuliwi serious sana maana wana jf sio wote wanaishi mkoa mmoja au wanaweza kukutana na kuanza mapenzi kirahisi hivyo labda mtu kama ndio tabia yake huko mtaani sawa. Jf ni kama tupo kwenye msitu mnene wakati wa usiku

Mkuu
Kuna watu wanaaminika sana JF kuwa ni wema na mtu anafanya kila jitihada angalau amuone mhusika

Tatizo ni pale huyo mtu akija kugundua ameingizwa choo cha kike

Tatizo lingine watu sijui ni kwanini wanashindwa kutofautisha kati ya kuongea na kutenga

Mtu akisema hapendi ku cheat haimaanishi ndivyo alivyo

Kuna wana JF wengi pia wako eneo moja na haya ninayoyazungumza hapa yanatokea sana na pengine kuna wengine wanauwezo wa kusafiri umbali mrefu kwasababu uwezo wanao na muda wanao pia!
 
Wengine wakiona watu humu wanaandika kiingreza tayari wanajua mambo safi kumbe hakuna kitu,wengine picha zikitundikwa humu wanakua hoiii
Wengine wanapenda avatar

Bora mimi STD 7 hata kuandika kiingereza siwezi hivyo nimepunguza msururu wa PM ....lol!!!!!!!
 
Excel nilijua hutakua mchangiaji hapa maana inaonesha wewe ni affected wa PM. Anyway mapenzi ya humu hayachukuliwi serious sana maana wana jf sio wote wanaishi mkoa mmoja au wanaweza kukutana na kuanza mapenzi kirahisi hivyo labda mtu kama ndio tabia yake huko mtaani sawa. Jf ni kama tupo kwenye msitu mnene wakati wa usiku

Hahahaaa!! mkuu ni kweli kabisa unachosema.. jf ni kama kulazimisha kutumia skype kwenye pc ambayo haina web cam wala hujaweka device nyingine yoyote itakayokuwezesha kuonana na mtu...

watu wa economics wanaita perfect competitive market...

though it can exist..
 
Mimi hakuna hata mmoja niliyevutiwa naye, heheheee labda ndio nianze sasa kufuatilia labda nitaambulia kitu. Halafu nitamtaja.
cc: Eiyer

Huna haja ya kumtaja mrembo wa kibantu

Wewe malizana nae PM tu ili ukidunda yaishie huko!
 
Nilisikia makelele hapa kuhusiana na hii mikusanyiko

Hii mijitu kweli inakera

Hebu fikiria jitu limetoka kwao kwenda kwenye hiyo mikusanyiko eti kwenda kumuangalia fulani anavaa nini leo

Bora hata hilo jitu liwe jike kumbe dume

Hii mijitu ya aina hii ni ya kupewa dispilini kabisa

Unakwenda kumuangalia mtu kavaaje huna kazi ya kufanya?
Bora hata uende kuangalia hivyo na iishie hivyo,jitu linakuja hapa na kuanza kumbe fulani ndio yule,kumbe ana miguu ya vile,hii mijitu hii

Mtu mnaanza kutongozana PM na mnakubali kuonana
Wewe unajua labda mwenzako ni muelewa,unaamua kutoka zako gereji na nguo zako zenye grisi,unakwenda kuonana nae kesho tu unaona jitu limeanzisha siredi hapa

Hii mijitu hii kazi sana!

hahaha, watu wa aina hii ni kuwaignore tu maana utapoteza energy yako kuwakemea... hii ni asili yao.
Cha kufanya, kama unataka kukutana na mtu, inabidi wewe ndio umsome dhamira yake ili usipoteze muda wako...
 
Unatibua dili za watu wewe Baba Paroko mpango wako sio..
Ila hii kitu nilikuambiaga mapema umeona eeh!!!!!!!!!!!

Hizo dili na zitibuke tu

Uliniambia nini?
 
hahaha, watu wa aina hii ni kuwaignore tu maana utapoteza energy yako kuwakemea... hii ni asili yao.
Cha kufanya, kama unataka kukutana na mtu, inabidi wewe ndio umsome dhamira yake ili usipoteze muda wako...

Ni kumuambia wazi tu anahitaji nini ili muwekane sawa

Na kama ni mapenzi muwekane sawa ni aina gani ya mtu anamhitaji na sio kuja kuwekeana matangazo JF!
 
(aisee yaelekea unamengi ya kusema Nyani Ngabu!!

Oh heck yeah...

Sipendi kusemwa vibaya na mijitu ambayo (1) hainijui kabisa, (2) inasema uongo (3) inasema uzushi.

Humjui mtu, kaa kimya, nyamaza. Siyo kuanza kumzushia kana kwamba umemzaa wewe wakati hata akipishana na wewe barabarani huwezi kujua kama ndo yeye.
 
Hahahaaa!! mkuu ni kweli kabisa unachosema.. jf ni kama kulazimisha kutumia skype kwenye pc ambayo haina web cam wala hujaweka device nyingine yoyote itakayokuwezesha kuonana na mtu...

watu wa economics wanaita perfect competitive market...

though it can exist..

Watu wanapretend sana humu haswa jukwaa hili duh!!!!
 
Huna haja ya kumtaja mrembo wa kibantu

Wewe malizana nae PM tu ili ukidunda yaishie huko!

Hahahaaa haya powa baba paroko, ngoja nilifanyie kazi. Yaani mimi ndio umenituma nilikuwa sina wazo hili ujue. At my own risk.
 
Hahahaaa haya powa baba paroko, ngoja nilifanyie kazi. Yaani mimi ndio umenituma nilikuwa sina wazo hili ujue. At my own risk.
Usifanye kwa sababu nimekuambia mimi fanya kwasababu unahitaji!
 
Mkuu una uzoefu gani ulionao wa hili?
....Nina uzoefu kidogo na hili mkuu..wakati mwingine mtu anaweza kuweka matarajio makubwa sana...na ukimwambia twende taratibu inakua shida...nisiongee sana mkuu...hata hivyo hayo mambo yalosha isha
 
Hebu fikiria jitu limetoka kwao kwenda kwenye hiyo mikusanyiko eti kwenda kumuangalia fulani anavaa nini leo

Oh yeah...linaenda tu kuchora wenzake lipate cha kuchogea umbea na uzushi.

Kama ulivyosema, linaenda kuangalia fulani kavaa nini au kaja na usafiri gani, yukoje yukoje, kama ana sura kama chura au kichogo kama Madenge.

Bora hata hilo jitu liwe jike kumbe dume.

Na tena dume lenye mke na watoto nyumbani!
 
Oh yeah...linaenda tu kuchora wenzake lipate cha kuchogea umbea na uzushi.

Kama ulivyosema, linaenda kuangalia fulani kavaa nini au kaja na usafiri gani, yukoje yukoje, kama ana sura kama chura au kichogo kama Madenge.
Hili bora likaimbe mipasho tu
Na tena dume lenye mke na watoto nyumbani!
Huyu bora tumvalishe sket!!
 
Back
Top Bottom