For those who fall in love with someone here

Baba paroko sijamzimia mtu bado, ila nina marafiki tu.
Nataka kumzimia mtu, dah ila kazi kumzimia mtu hata humjui. Nitajaribu kihisia.
 
Mkuu umenichekesha sana

Hiyo "mijitu" isamehe bure tu

Mtu amekujulia hapa lakini utadhani aliwahi kukulipia hela ya dawati shule ...lol!!

Huko kukujua kidogo nako ni tatizo

Mtu alioneshwa tu barabarani yule ndie Ngabu

Anakuja hapa na kuanza "kukuchana"

Kumbe Ngabu mwenyewe ni mweusi hivyo ..lol!!!!

Kumbe aliyemuonesha alikosea yule sio Ngabu ni Eiyer ...lol!!

Hii "mijitu" hii ...lol!!!!!!!!!!!!!!

Nina hasira sana na hiyo mijitu aisee. Ningekuwa mtu wa kupenda kujichanganya na watu wa humu ipo siku ningeilia timing kwenye moja ya hiyo mikusanyiko yao niende nikaianzishie sokomoko la mangumi ya uso.

Lakini bahati mbaya (au nzuri) huwa sijichanganyi hovyo hovyo na watu wa humu kwa sababu hiyo hiyo ya huo ujinga wao.

Fikiria tu, hivi tu haikujui hata kidogo lakini inavyokuzushia uzushi, ikikujua walau kidogo tu si ndo itakuwa balaa kabisa?

Ku.manina zao yote hiyo mijitu inayojifanya inajua sana watu humu ilhali hamuwajui hata chembe. Kukwotiana na kupeana likes humu hakuwafanyi muwajue wengine wala haimaanishi mnawajua. Ebo!
 
Well said Paroko. Konacholeta heart attack ni matarajio ya juu wakati mtu hujamuona. Maana akili yako inakuwa imeshamtengeneza huyo future candidate kwa jinsi unavyoona wewe ndo halisia na kujiaminisha kuwa ndivyo. Sasa kimbbe mnapokutana na ku spend time pamoja ndo unaanza kupata kizunguzungu.
In fact hii iko hata kwenye ndoa. Wakati wa courtship watu wanakuwa hawajafungua makucha yao. Sasa kazi mkishaingia ndani kama mume na mke ndo movie inaanza. Ndo maana so ajabu kusikia wana ndoa wanasema hakuwa hivi nilipokutana naye mwanzoni. Na kuna ukweli kuwa ukipenda sana kuna baadhi ya indiators huzioni kwa wakati huo.
 
Nina hasira sana na hiyo mijitu aisee. Ningekuwa mtu wa kupenda kujichanganya na watu wa humu ipo siku ningeilia timing kwenye moja ya hiyo mikusanyiko yao niende nikaianzishie sokomoko la mangumi ya uso.

Lakini bahati mbaya (au nzuri) huwa sijichanganyi hovyo hovyo na watu wa humu kwa sababu hiyo hiyo ya huo ujinga wao.

Fikiria tu, hivi tu haikujui hata kidogo lakini inavyokuzushia uzushi, ikikujua walau kidogo tu si ndo itakuwa balaa kabisa?

Ku.manina zao yote nyie mijitu inayojifanya inajua sana watu humu ilhali hamuwajui hata chembe. Kukwotiana na kupeana likes humu hakuwafanyi muwajue wengine wala haimaanishi mnawajua. Ebo!

Nilisikia makelele hapa kuhusiana na hii mikusanyiko

Hii mijitu kweli inakera

Hebu fikiria jitu limetoka kwao kwenda kwenye hiyo mikusanyiko eti kwenda kumuangalia fulani anavaa nini leo

Bora hata hilo jitu liwe jike kumbe dume

Hii mijitu ya aina hii ni ya kupewa dispilini kabisa

Unakwenda kumuangalia mtu kavaaje huna kazi ya kufanya?
Bora hata uende kuangalia hivyo na iishie hivyo,jitu linakuja hapa na kuanza kumbe fulani ndio yule,kumbe ana miguu ya vile,hii mijitu hii

Mtu mnaanza kutongozana PM na mnakubali kuonana
Wewe unajua labda mwenzako ni muelewa,unaamua kutoka zako gereji na nguo zako zenye grisi,unakwenda kuonana nae kesho tu unaona jitu limeanzisha siredi hapa

Hii mijitu hii kazi sana!
 
actually.. nahisi ujana unanizidi nguvu.. damu inachemka mnoooo baba paroko!

kuna mdau mmoja alileta ule uzi wa masaa 48, unaukumbuka vizuri?

Naukumbuka sana

Wewe anza tu kupiga mazoezi ya ukweli utaona hiyo hali ya kibazazi inatokomea yenyewe!
 
Baba paroko sijamzimia mtu bado, ila nina marafiki tu.
Nataka kumzimia mtu, dah ila kazi kumzimia mtu hata humjui. Nitajaribu kihisia.

Kumzimia mtu sio hadi umuone
Hapa tunaonana kwa kile tunachochangia hapa

Kila mtu ana vipaumbele vyake kwenye maisha na huwa kila mmoja wetu anatamani awe na mtu mwenye mtazamo fulani

Sasa unapoona mtu hapa mwenye mtazamo kama ule unaoutamani ndipo hapo unapoanza kumuwaza na hapo ndipo matatizo yanapoanzia!
 
Nina hasira sana na hiyo mijitu aisee. Ningekuwa mtu wa kupenda kujichanganya na watu wa humu ipo siku ningeilia timing kwenye moja ya hiyo mikusanyiko yao niende nikaianzishie sokomoko la mangumi ya uso.

Lakini bahati mbaya (au nzuri) huwa sijichanganyi hovyo hovyo na watu wa humu kwa sababu hiyo hiyo ya huo ujinga wao.

Fikiria tu, hivi tu haikujui hata kidogo lakini inavyokuzushia uzushi, ikikujua walau kidogo tu si ndo itakuwa balaa kabisa?

Ku.manina zao yote...........(aisee yaelekea unamengi ya kusema Nyani Ngabu!!
 
Last edited by a moderator:
Well said Paroko. Konacholeta heart attack ni matarajio ya juu wakati mtu hujamuona. Maana akili yako inakuwa imeshamtengeneza huyo future candidate kwa jinsi unavyoona wewe ndo halisia na kujiaminisha kuwa ndivyo. Sasa kimbbe mnapokutana na ku spend time pamoja ndo unaanza kupata kizunguzungu.
In fact hii iko hata kwenye ndoa. Wakati wa courtship watu wanakuwa hawajafungua makucha yao. Sasa kazi mkishaingia ndani kama mume na mke ndo movie inaanza. Ndo maana so ajabu kusikia wana ndoa wanasema hakuwa hivi nilipokutana naye mwanzoni. Na kuna ukweli kuwa ukipenda sana kuna baadhi ya indiators huzioni kwa wakati huo.

Kweli kabisa

Ni bora kuchukua hatua bado mapema

Hii mambo ya kumtengeneza mtu akilini ni ya kitoto sana!
 
actually.. nahisi ujana unanizidi nguvu.. damu inachemka mnoooo baba paroko!

kuna mdau mmoja alileta ule uzi wa masaa 48, unaukumbuka vizuri?
Excel nilijua hutakua mchangiaji hapa maana inaonesha wewe ni affected wa PM. Anyway mapenzi ya humu hayachukuliwi serious sana maana wana jf sio wote wanaishi mkoa mmoja au wanaweza kukutana na kuanza mapenzi kirahisi hivyo labda mtu kama ndio tabia yake huko mtaani sawa. Jf ni kama tupo kwenye msitu mnene wakati wa usiku
 
Last edited by a moderator:
Unatibua dili za watu wewe Baba Paroko mpango wako sio..
Ila hii kitu nilikuambiaga mapema umeona eeh!!!!!!!!!!!
 
Mimi hakuna hata mmoja niliyevutiwa naye, heheheee labda ndio nianze sasa kufuatilia labda nitaambulia kitu. Halafu nitamtaja.
cc: Eiyer
 
Back
Top Bottom