For the lazy ass dudes

Aaaaaaanh kuamka tu na mipasho!!!!!!!
Haya wamekusikia "coach potatoes"!!!!!

Yupo sahihi sana hapa mjini watu wengi hawafanyi mazoezi, namshukuru Mungu huku kwetu Mivumoni kuna vimilima kidogo hivyo binafsi nimejiwekea utaratibu wa kukimbia japo Kilomita5 mara tatu kwa wiki, yaani Jumamosi, Jumapili na siku moja ya kazi nitakayoiotea eidha asubuhi nichelewe kazini au jioni niwahi kurudi home na imenisaidia napoteza uzito taratibu Mwaka 2010 nilikuwa na Kg93 kwasasa nina86 zinapungua taratibu ila hazijawahi kupanda, na yale mambo mengine yana boreka kila mwaka
 
halafu mimi nashangaa sana...wanawake siku hizi wana vitambi ati.......!
 
Keep it up buddy.
 

Kumbe mmeo yupo hivi? Ujumbe mfikishie indirect
 
Hehee,
Na nyie pia muwe mnafanya mazoezi,
Sio kuota vitambi
 
Mabinti wote wanaoongelea wanaume sijui kuvua nguo wanaonekanaje nawashangaa sana, Mmewavuaje wanaume wengi hivo kujudge kua ni wanaume wote? Kama boys wenu ni wachafu mkiwavua em waambie wajirekebishe, si mlipendana hadi kufikia mmevuana sasa mnyooshe unavoona wewe, mkisema humu JF sawa, ila huko mnavokua mnavuana mnasema? au ndio ile kimya kimya unamezea.. kama mtu ana kitambi akivua kinakuboa ulimpenda tokea mwanzoni kivipi sasa? si ungemwambia akichakachue kitoke....

Na girls wa kibongo mmekuaje na hayo matumbo? na hiyo misuli? binti instead ya kua soft anakua na misuli misuli, mwili umekomaa... Vipi imekuaje? afu mjiweke safi maana huko chini jasho na nini pako sensitive. No offense najua sio kwa girls wote, ila kwenye mazoezi wengi matumbo sijui wanakula nini
 

Mkuu Tized yeah bao 8 na wala unakuta sikamii,inatokea tu hamu haiishi na hakuna kuchoka! Bao 1 - 3 zinaunganishwa mkuu
 

mbona kama unawasema wanawake wenzio
maana takwim zinaonyesha 78.426% ya wanawake nchin wana vitambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…