For the lazy ass dudes

Problem is they are growing fatter by day. Kama Fidel80.

Mkomalie mmeo kama unataka awe thin, mi wifi yako anauliza kwa nini napungua? Anataka niwe pande la mtu.
 
Last edited by a moderator:
umenena wanaume wamejiachia sana rly bored uuuupsi unaweza kulia na kujuta the day u meet this dude.wachukue hii in positive way
 
kunenepa ovyo ni kuto kujielewa hata akili inakuwa mbaya
Wengi wao huwa wana stress ndio maana wanajikuta wamenenepa bila mpangilio.Kuna mtu hivi karibuni alinikumbusha kitu tulikua tunazungumzia stress akasema wabongo wengi wana stress ndio maana utawaona wanaspend like 4 to 6 hrs baa . Hushindwa kwenda kuona familia zao mapema sababu ya stress sasa kwa kupotezea anaona bora akae baa. Matokeo yake wanajikuta wanaongeza weight taratibu bila kujitambua.
 
Wanaopigwa kimoja cha kichovu utawajua tu! Lakini hatushangai, wewe ndiye sababu.
 
Ila DA Karucee na weye ukiwa nyumbani mara moja moja ingia jikoni mtengenezee vyakula vifaavyo lol. Mwingine utakuta pamoja na kuijua hatari hiyo kwa Mh. Mbunge wake bado atakazana kumlisha vyakula alopika dada akatia mafuta kibaooo. Mpangie diet nzuri na kuzungumza naye juu ya madhara ya hiyo life style yake. Ikibidi sema hata uwongo, akimaliza siku moja kama hujafika kigoma 'jihudumie' mbele yake kisha akiuliza wamwagia mchele kuwa siku zote hukuacha njia panda!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…