sijaelimika?kwa standards za kufikiri kwako au?Inaonekana umekwenda shule lkn hujaelimika, uliona wapi mke mwema kaolewa na mume mwema? Siku zote mmoja anakuwa mwema na mwingine pasua kichwa. Au hujui siku zote mtu hupenda asipopendwa?
Akivaa sare za shule ataonekana kama mhudumu wa baa, halafu haitampendeza kama madent wanavyotokelezea, Acheni WANAMUME tuifaidi dunia hii jamani.Yaani mfano we kidume unaona labda watoto(wa kike) wakivaa sare za shule ndo wanakuchanganya,basi mnunulie huyu girlfriend(mchumba) wako za shule tofauti ili awe anavaa hizo!
Hilo neno kila generation inalitumia.Hapo ndo naposhindwa kuwaelewa wanaume wetu hawa wa skuizi. Sijui wapoje????
Sare haidanganyi akili,Akivaa sare za shule ataonekana kama mhudumu wa baa, halafu haitampendeza kama madent wanavyotokelezea, Acheni WANAMUME tuifaidi dunia hii jamani.
tatizo wanakiendekeza
kiungo chao cha uzazi hawana
lolote,kila dakika wanawaza pakutapikia!!
Akivaa sare za shule ataonekana kama mhudumu wa baa, halafu haitampendeza kama madent wanavyotokelezea, Acheni WANAMUME tuifaidi dunia hii jamani.
Ni kweli kabisa my dear! kila wakionacho kwao ni dhahabu lzm akitafute kwa mbinde hajali kama anamchumba au mke! wanakera sana!
mwanamke ambaye ni "wife material" anaweza ondoka na kutafuta a better man. if he's not worth it, then dump his sorry
@$$
tatizo wanakiendekeza
kiungo chao cha uzazi hawana
lolote,kila dakika wanawaza pakutapikia!!
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana
mnajiendekeza bana
mmejijengea hulka,kila sketi ikipita
mwataka kujua zipu ya rangi gani,datz da problem!!
hebu angalia sasa hata majina yen mnavyojiita mara passion, salty,sijui sweety,charming,furahia sijui heaven on earth hapo bado hatujasikia sauti zenu nyororo
mnajua mnatakiwa kujiblame wenyewe mana nmnatuhamasisha mpk kila mda tunawafikiria yani hatupumui
kumbe na majina hua
yanawahamasisha kungonoka?haa!!
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana[/
inawezekana anakupenda sana kwa tabia yako ila kwa manjonjo upo nyuma na ndiyo maana anaruka nje kutafuta manjonjo! nifunze mbinu fulani fulani! kama usafi wa mwili wako hili ni la muhimu sana na mambo fulani fulani
kumbe je!kuna majina ukisikia tu unaanza kupata picha ya huyo mtu yukojekoje