ni kweli tunaumiza, ila watoto wa kike mnazidi kupendeza sasa sisi tufenyeje?
Wanaume tuko possessive na tunataka yote. Ukikutana na mwanaume akakwambia hataki 'sexual freedom' na vidosho huyo ni muongo, hanith au gay/Si na wewe umpendezeshe ulie nae jaman?? Usione vimeng'aa mkuu kuna kaz imefanyika hapo kati!!!
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana
Hapo ndo naposhindwa kuwaelewa wanaume wetu hawa wa skuizi. Sijui wapoje????
Ni Hivii, ukikodi gari la mtu utaendesha rafu mbaya (si hela imekutoka??) ila la kwako lazima ulitunzee ...NDIVYO TULIVYO!!!
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana
ukiona hivyo ujue mke/mpenzi wa kike anafaa kwa mapenzi na yule wa nje anafaa kwa uzinifu. Hii kitu ni asili kwa wanaume tuliyo wengi, binafsi nilishajaribu kuwa na uhusiano na mpenzi mmoja lkn nilishindwa, itabidi wanawake mzoee/mjifunze kuchangia wanaume, ukizingatia tupo wachache, kila mwanaume akiwa na mpenzi/mkee wake tu wanawake wengine watakosa wanaume.
Mwashalii, tabia hii ipo kwa wanaume tangu YESU alipokuwa mtoto mpaka leo na itakuwepo milele, ukitaka kuthibitisha haya ninayokuambia, kasome vitabu vya dini au chunguza ktk ukoo wako utagundua wanaume wengi ktk ukoo wako wamezaa/walizaa na mwanamke zaidi ya mmoja.
ukiona hivyo ujue mke/mpenzi wa kike anafaa kwa mapenzi na yule wa nje anafaa kwa uzinifu. Hii kitu ni asili kwa wanaume tuliyo wengi, binafsi nilishajaribu kuwa na uhusiano na mpenzi mmoja lkn nilishindwa, itabidi wanawake mzoee/mjifunze kuchangia wanaume, ukizingatia tupo wachache, kila mwanaume akiwa na mpenzi/mkee wake tu wanawake wengine watakosa wanaume.
Ungebadili kituo. Badala ya kusimama hapo kwenye kituo kuumiza, hamia kituo kujipa raha. Kama haujamzaa wewe usimruhusu akustress. Unampokonya mzazi wake majukumu ujue.
sio wote tafuta mwenye vigezo uvitakavyo! usimgande asiyekuwa na tija and how come unajua mwenzako ana wengine wengi na bado unavumilia.? we mvumilivu!utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana
sio wote tafuta mwenye vigezo uvitakavyo! usimgande asiyekuwa na tija and how come unajua mwenzako ana wengine wengi na bado unavumilia.? we mvumilivu!