infinite ukitaka kupata jibu chora duara kisha chota misrari ya kufanana ndani yake kutoa pande mmoja kwenda mwingine je mingapi itafanana??
Jibu la "infinite" linaweza kua sawa au pia sio sawa, ila udadavuzi ndio umefeli wewe Mwalimu.
Kwanza tabia ya Mistari Pacha hua ina slope/gradient zinazofanana. Sasa basi katika Duara, kwenye kila nukta iliyoko kwenye mstari, kuna nukta "yenzake" opposite ya duara yenye gradient/slope sawa. So hizi nukta mbili ni nukta/mistari pacha.
Sasa swali lije kua katika duara mule pembezoni mna "nukta" ngapi? Hapo linakuja suala la vipimo.
Mfano Sentimita 1 haiwezi kua ni nukta maana ni kubwa mno, hivyo tuigawe katika milimita ili tupate milimita 10.
Milimita 1 nayo kwa Kalamu nene inaweza kua ni nukta moja, lakini kwa pini zile ndogo ndogo, milimita inaonekana kubwa maana ukiiandika, ndani yake unaweza kupata vijinukta zaidi ya kimoja vyenye unene wa pini ndogo.
Na sababu tunazungumzia duara, kiuhalisia kwenye kila nukta kuna gradient/slope tofauti na nukta iliyopita, na kwenye kila nukta kuna nukta oposite yenye gradient/slope sawa na hii. Na kwenye kila nukta mbili zilizo opposite zenye gradient sawa kuna mistari pacha.
So inaweza kua ni mingi sana, but iko limited so long as the circle is also limited, and not "infinite" in the sense of mingi kupiliza, NOPE!!