For Hacking Bigginners and Pro if your Interested

Sawa kiongozi, mimi isitoshe sihitaji kuwa hacker wa namna yeyote! we endelea tu.
.
means ulikurupuka,
angalia title ya thread,
.
nimesema kwa bigginners and pro kama uko interested...
.
ila pamoja sana kaka
ucjari
 
Teh teh...... Tools are part of hacking, What important is the brain..... Tatizo ka mtu kakijifunza C++ na Java hapo DIT kanaanza jiona eti proffesional hacker nae..... Watanzania wababaishaji sana when it comes to serious tech issues, hebu tuletee hata 0day exploit uliowahi pata bila msaada wowote..... hapo tunaweza kidogo kukuelewa...Ngoja niwape Hii mistari inaweza wasaidia pata tofauti ya hacker na programmer......

Hacker VS Programmer
1. A hacker beats the system.
A programmer maintains the system.
2. A hacker is trying to get in.
A programmer is trying to stop things getting in.
3. A hacker does things because he believes in them.
A programmer does what he is supposed to.
4. A hacker changes the way things are.
A programmer tries to keep the status quo.
5. A hacker is agile.
A programmer is a small cog in a big slow machine.
6. A hacker has many points of attack.
A programmer has one job.
7. A hacker has to be fast.
A programmer doesn’t.
8. A hacker is self-reliant.
A programmer relies on others.
9. A hacker finds paths that don’t exist.
A programmer guards the old ones that already do.
10. A hacker is about being interesting.
A programmer is about being perfect.

HOPE MNEPATA KITU...
 
Unakosea kujiita wewe ni hacker, kwa kufanya vitu hiv;
.
Kufungua password protected PC, kwakutumia arleady made softwares, mfano Konboot e.t.c..
.
Kufungua internet kwa kutumia arleady made, tunneling VPN softwares...
.
Cracking Wi Fi password, by asleady made softwares.
.
hacking facebook account by one click softwares,..
.
Cracking softwares by using, arleady made patching or keygen generetors....
.
Na vingne unavyoweza ongezea
.
Hapa kuna watu hawa
Script Kiddies
.
Usikasirike unapoitwa wewe ni script kiddie, mana haimaanish kwamba hujui chochote kuhusiana na Computing/hacking.
.
>lakini kama una hack facebook/tweeter account, kwa kutumia arleady made apps, or google tutorials wewe ni script kiddie
.
Unafungua some 1 PC by using already amade booting software Na wewe pia ni script kiddie.
.
Una access free internet, by arleady made Tunneling softwares,> wewe ni script kiddies.
.
Una crack Wi Fi Password kwa already made software$ wewe ni Script Kiddies
.
LAKINI KUNA HACKER na CRACKER
.
CRACKER yeyote ni muhalifu>
lakin
.
HACKERS sio wote ni waarifu/ bali ni kutokana na jins yeye anavyotaka kutumia uwezo wake> Vizuri au Vibaya.
.
Mfano> CRACKER yeye ana hack facebook/tweeter n.k account haijarish ni script kiddies au sio, hvyo basi kafanya uharifu.
.
Mfano wa HACKER mharifu,
hacker mharifu kwa kutumia facebook hacking> Yeye ANA IBA password za user> kwa kutumia njia zake binafsi>
.
HAPO TUMEONA TOFAUTI YA HACKER NA CRACKER
.
Lakini hacker ambae si mharifu (sijaona neno la kiswhl faa) MTAKATIFU > yeye anatumia muda wake mwing kutengenneza seystem security, mfano kama ANTIVIRUS huyu wenzetu wazungu wanamwita WHITE HAT mimi acha nimwite hacker mtakatifu.
.
MADA KUU
Kabla ya kutaka kuwa hacker ebu jiulize, unataka kuwa hacker wa aina gan?
.
CRACKER = mharifu (black hat)
uwe crack Wi fi/ PC password/Facebook/tweeter/ uwe una crack softwares n.k
.
HACKER = mharifu (black hat) uwe unaiba password za watu/ una transfer moneys from bank account/Uwe una Steal private info from webs/uwe unatumia free internet n.k
.
WHITE HAT = Uwe mtengeneza protection softwares
.
GREY HAT = uwe katikati ya white hat na Black hat
uwe kote kote
.
SKID = uwe huelewi chochote una iga iga tu.
.
.
WAPI UTAANZIA
.
Jifunze jinsi gan Computer inafanya Kaz!
.
Hebu jiulze! unajua Programming Language?
.
Unataka kuwa hacker ili upate masifa tu kwa watu au la? Sorry 4 bad language
.
Unataka kuwa hacker kwa kuwa umeiga tu kwa watu au la?
.
Unapenda kweli Kutoka moyoni au la?
..........
.
Kwann nimesema hv.!
.
Hacking need daily practice.
.
No programming language no hacking.
.
Baada ya hapo sasa
.
Jifunze programming language anangalau C/C++ ongezea tena nyingne kama Java n.k more you practice more understand.
.
Elewa jinsi ya ku code Websites
.
1- Unatakiwa kuwa na muda
2- Unatakiwa ku concentrate
3- penda kutoka moyon
nahitaji program ya kuhack wireless internet zenye security code
 
Tatizo ka mtu kakijifunza C++ na Java hapo DIT kanaanza jiona eti proffesional hacker nae.....
DIT imeingiaje hapo?

Hacker VS Programmer
A hacker can be a programmer and programmer can be a hacker. A hacker can be a non programmer so is the programmer a non hacker!

So comparing Football Player vs MiddleFielder?? Fruits vs Oranges??
 
Teh teh...... Tools are part of hacking, What important is the brain..... Tatizo ka mtu kakijifunza C++ na Java hapo DIT kanaanza jiona eti proffesional hacker nae..... Watanzania wababaishaji sana when it comes to serious tech issues, hebu tuletee hata 0day exploit uliowahi pata bila msaada wowote..... hapo tunaweza kidogo kukuelewa...Ngoja niwape Hii mistari inaweza wasaidia pata tofauti ya hacker na programmer......

Hacker VS Programmer
1. A hacker beats the system.
A programmer maintains the system.
2. A hacker is trying to get in.
A programmer is trying to stop things getting in.
3. A hacker does things because he believes in them.
A programmer does what he is supposed to.
4. A hacker changes the way things are.
A programmer tries to keep the status quo.
5. A hacker is agile.
A programmer is a small cog in a big slow machine.
6. A hacker has many points of attack.
A programmer has one job.
7. A hacker has to be fast.
A programmer doesn't.

8. A hacker is self-reliant.
A programmer relies on others.
9. A hacker finds paths that don't exist.
A programmer guards the old ones that already do.
10. A hacker is about being interesting.
A programmer is about being perfect.


HOPE MNEPATA KITU...

.
Hapo kwenye blue nilidhani unaandika vitu unavyo vielewa.....
.
nilipotulia kuvisoma nikagundua kitu,
NIKAANGALIA umezoea kuishi jukwaa gani,
nilipojua nikagundua kitu,
Mwanzoni nimeona umegusia DIT, nikagundua kitu,
.
nikaa angalia tena mistari yako,
nikajua hujavitoa kichwani, kuna sehemu umedanganywa
ANGALIA VIZURI SENTENCE YAKO YA SITA/SABA/NANE
.
UKITAKA UJUE NIMEGUNDUA NINI JUU YAKO PM ME
:blah::blah:
 
Hacking is subculture which comes in different shapes and forms...

kuna hacker upande wa security ambao hu exploit matobo kwenye mfumo na kuyatumia kuharibu au kuboresha...

kuna hacker kama hobby huyu yeye hujaribu kutumia taaluma na ujanja kujaribu kupima limit ya hardware au software. hapa kuna wale wanao cheza na firmware za simu sijui kujailbreak. kuroot kucrack serial number ili kuitumia demo version kama full. kuna wale wamecheza na ios kuiweka kwenye pc na wengine weeengi kwenye category hii

huko marekani uwa kila mwaka kuna mkusanyiko mkubwa wa hackers unaitwa DefCon ambapo hackers mbalimbali duniani kote hukusanyika kujadili maswala ya hacking na mustakabali wa utamaduni wao....

kiufupi hacking sio jambo zuri nchi nyingi ni kosa kisheria kuhack. Humu jukwaani kuna mtu ilimcost kwa kucheza na tovuti kadhaa za watu....

ila maisha uwa tunachagua upande na tunasimama wima kwenye misimamo yetu ili maisha yaende. Ukiamua kuwa hacker kuwa kweli mpaka watu watu wote wakutambue.

Kibongo bongo kuna watu kibao hata hawajui au wamejulia computer chuo. kwa hali hii huwezi kuijua computer kiundani zaidi ya matumizi ya kawaida. Ulaya watoto wa miaka sita tayari wako exposed ndio maana uwa sishangai kuona huko matukio makubwa makubwa..
 
Back
Top Bottom