For Hacking Bigginners and Pro if your Interested

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,446
2,000
Mwanzo mwisho umenisema tuuuuu, but hujanipa pa kuanzia aswaaaah... Nimesoma C++ Introduction to high level programming kama jina lako. Ila kama course na sio kujifundisha. Unanishaurije?
 
Last edited by a moderator:

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Mwanzo mwisho umenisema tuuuuu, but hujanipa pa kuanzia aswaaaah... Nimesoma C++ Introduction to high level programming kama jina lako. Ila kama course na sio kujifundisha. Unanishaurije?

Rejea hapa Mkuu ndipo unataka ku interest wap?
Kabla ya kutaka kuwa hacker
ebu jiulize, unataka kuwa
hacker wa aina gan? .
CRACKER = mharifu (black
hat)
uwe crack Wi fi/ PC
password/Facebook/
tweeter/ uwe una crack softwares n.k
.
HACKER = mharifu (black hat)
uwe unaiba password za
watu/ una transfer moneys
from bank account/Uwe una Steal private info from webs/
uwe unatumia free internet
n.k
.
WHITE HAT = Uwe
mtengeneza protection softwares
.
GREY HAT = uwe katikati ya
white hat na Black hat
uwe kote kote
. SKID = uwe huelewi chochote
una iga iga tu.
 
Last edited by a moderator:

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,063
1,195
Hayo yote yangu ila

Asa kama we unaelekeza c ungetaja hzo njia ambzo huwa unatumia kama mfano unataka kulog in kwenye komputer ya m2 mwingne

au ungeeleza hyo internet unayo2mia ww n ya aina gan tupe xomo c o unazunguka tu
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,705
2,000
Nafikiri hacker wengi hutokea huko kwenye Script kiddies, then kadri anavyo endelea ndivyo anavyo jifunza mbinu binafsi kutokana na madhaifu ya sehemu ambazo alikua ana hack.
Kuna vitu ukijua kama Programming unakua na faida ya kutengeneza baadhi ya tool zako mweneyewe unapo taka kuingia katika system flani, ingawa unaweza ukawa haujui Programming na ukawa hacker mzuri. Ila naamini ukijua vizuri Programming, Elecrtonics na Network vizuri kuna uwezekano wa kua hacker mzuri sana, tofauti na asie jua hivyo vitu.
 
Emma Lukosi

Verified Member
Jul 22, 2009
929
195
.
Any way thanks mkuu!
.
I feel guilty for people who make fun of Hacking
by saying "I can hack you're
facebook, Now bow before
me!" and they are real seriously!

Hack a FB acc and i will suck ya kcid for free. unaelewa jinsi server za Fb zinavyofanya kazi kwanza?.
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,366
2,000
Those who use ready made Software like SET or tools coming with BT5/Kali are script kiddies right?
Stealing things with Ethereal/whatever it new name is script kiddie-sh right?

I thought you can be a hacker using others tools like Cain and Abel or Oph'crack!
So I was wrong... :bored:
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Hack a FB acc and i will suck ya kcid for free. unaelewa jinsi server za Fb zinavyofanya kazi kwanza?.

.Very simple, but I'm sure
this will help out some of
the people who are new to
hacking. Nice job on the
information
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Nafikiri hacker wengi hutokea huko kwenye Script kiddies, then kadri anavyo endelea ndivyo anavyo jifunza mbinu binafsi kutokana na madhaifu ya sehemu ambazo alikua ana hack.
Kuna vitu ukijua kama Programming unakua na faida ya kutengeneza baadhi ya tool zako mweneyewe unapo taka kuingia katika system flani, ingawa unaweza ukawa haujui Programming na ukawa hacker mzuri. Ila naamini ukijua vizuri Programming, Elecrtonics na Network vizuri kuna uwezekano wa kua hacker mzuri sana, tofauti na asie jua hivyo vitu.

.
Nice keep it up , up
but kwenye red Natofautiana na wewe mkuu,
HUWEZI KUNYIMWA FUNGUO, NA UKAWEZA KUFUNGUA KITASA BILA KUKIJUA KINAFUNGUKAJE
.......na maanisha kwa mfano> ukijua ku code websites n.k basi atleast mambo mengne yatajipa ktk websites hacking
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Those who use ready made Software like SET or tools coming with BT5/Kali are script kiddies right?
Stealing things with Ethereal/whatever it new name is script kiddie-sh right?

I thought you can be a hacker using others tools like Cain and Abel or Oph'crack!
So I was wrong... :bored:

Yeah mkuu, kuna vitu viwili tu for a hacker not script kiddy,
ambavyo huvitumia ku hack websites>
Anaweza akatumia, njia ya
.
Client side
.
Hii inajumuisha Keylogging, Password stealling/cookie stealing/remote administration tools n.k
.
Na pia kuna Njia hii Server side Hacking
.
hii inahusisha the way of finding vulnearability, in a website server and use it as you r advantage
.
Ambazo ni
Exploiting
Reverse user acc
n.k ntazieleza soon
.
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,705
2,000
Mkuu, kuna vingi vya ku hack, si lazima tu website...
Kuna system ili uhack ni kweli utatakiwa uwe na uelewa wa programming hasa C/C++.
Na kuna system unadumbukia ndani hata kama haujui programming.
Narudia anaejua programming anakua mkali zaidi kwasababu anakua na uwezo wa kutengeneza tools zake mwenyewe kutokana na mahitaji ya system anayotaka kuingia.

.
Nice keep it up , up
but kwenye red Natofautiana na wewe mkuu,
HUWEZI KUNYIMWA FUNGUO, NA UKAWEZA KUFUNGUA KITASA BILA KUKIJUA KINAFUNGUKAJE
.......na maanisha kwa mfano> ukijua ku code websites n.k basi atleast mambo mengne yatajipa ktk websites hacking
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Mkuu, kuna vingi vya ku hack, si lazima tu website...
Kuna system ili uhack ni kweli utatakiwa uwe na uelewa wa programming hasa C/C++.
Nakuna system unadumbukia ndani hata kama haujui programming.
Narudia anaejua programming anakua mkali zaidi kwasababu anakua na uwezo wa kutengeneza tools zake mwenyewe kutokana na mahitaji ya system anayotaka kuingia.

nimekuelewa vizur mkuu Ila Kwenye red hapo mkuu unatakiwa kutoa fact > mana hi ni sc&tec inahitaji sana fact!
Any way thanks mkuu
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,705
2,000
Katika kipindi hiki, unakuta kuna tools tayari zimetengenezwa which helps to compromise a machine pasipo kua na knowledge ya programming, mfano havij.. na haimaanishi kutumia tools hiyo basi unakua script kiddies.

nimekuelewa vizur mkuu Ila Kwenye red hapo mkuu unatakiwa kutoa fact > mana hi ni sc&tec inahitaji sana fact!
Any way thanks mkuu
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
ukitumia tools za wenzako tayali wewe ni kidy,
hacker anaumiza kichwa anatengeneza tools za kwake, umeona sasa Unavyo zungumzia wewe, kwa sasa huyo aliyetengeneza tools ndiye hacker, sijui kama umenielewa kaka,
script kiddie,
haimaanish kwamba hujui
chochote kuhusiana na
Computing/hacking.
Lakin unatumia vya wenzio!
.
Katika kipindi hiki, unakuta kuna tools tayari zimetengenezwa which helps to compromise a machine pasipo kua na knowledge ya programming, mfano havij.. na haimaanishi kutumia tools hiyo basi unakua script kiddies.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom