Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
yoyote anae tumia tools amabyo hakutengeneza ni script kiddies?
80% nguvu yake na ubunifu wake katika kuingia kwenye system, 20% katumia tools flani ili kuingie kwenye system nae anakuaje?
Python, c/c++, java, perl, Lisp, html/css/javascript ni lugha zinazo tumika hasa katika hacking.. najiaminisha 99.99% hizo lugha kuna sehemu utajikuta unapwaya na ndipo hapo una poazima ujuzi sehemu, japo kwa 0.5% ya kazi zako.

ukitumia tools za wenzako tayali wewe ni kidy,
hacker anaumiza kichwa anatengeneza tools za kwake, umeona sasa Unavyo zungumzia wewe, kwa sasa huyo aliyetengeneza tools ndiye hacker, sijui kama umenielewa kaka,
script kiddie,
haimaanish kwamba hujui
chochote kuhusiana na
Computing/hacking.
Lakin unatumia vya wenzio!
.