For Gamers: Maajabu ya Far Cry 3....

For Gamers: Maajabu ya Far Cry 3....

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
956
Nina kama wiki nacheza game hili, kwa ufupi ni zuri sana kama wewe ni mpenzi shooter games na game ambazo unaweza kuinteract na vitu mbalimbali jaribu hili.
Inawezekana ni kawaida lakini mimi ndio mara yangu ya kwanza kukutana
Hiki kitu, kwenye kijiji ninachoishi nimesikia watu wanaongea kiswahili,nimebaki najiuliza ni kwamba waandaji waliamua kuweka kiswahili kama lugha pekee au wameseti in such a way that ukiinstall wakujua eneo ulipo basi ndio lugha itayasikika humo?.
 
,mmh haya ngoja nilishushe niangalie lilivyo.
 
mi nnalo ila sijui kwa nini halijanivutia kivile kama kina COD...!!? nilicheza kidogo tu then nikaliacha...ngoja ntalianzia tena labda nione..
 
mi nnalo ila sijui kwa nini halijanivutia kivile kama kina COD...!!? nilicheza kidogo tu then nikaliacha...ngoja ntalianzia tena labda nione..
Kweli inabidi ulianze tena, mwanzoni linakatisha tamaa kiasi lakin ukishazoea maisha yanakuwa rahisi..
 
dah nimelicheza mkuu lipo poa sana alfu kumbe ni latest halina muda mrefu!!!!
 
daahh mie mzito sana kucheza shooter games huwa zina nchosha

Yap inawezekena, ndio maana mi huwa sina haraka nalo nikicheza mission moja nikachoka, nahamia FIFA 13 huko hata kama nimechoka nikikutana na wabaya wangu, mpaka kieleweke.
 
dah sijapata kuona game wanatukana kama hili aisee yaani baada ya dk 2,3 unasikia mother***** hujakaa sawa shut the f** up duh hilikalifai kwa watoto.
haya gameplay trailer hiyo hapo!!!!

 
Last edited by a moderator:
dah sijapata kuona game wanatukana kama hili aisee yaani baada ya dk 2,3 unasikia mother***** hujakaa sawa shut the f** up duh hilikalifai kwa watoto.
haya gameplay trailer hiyo hapo!!!!



Huyu mjinga anatia hasira mpaka mtu inabidi ucheke tu....
 

Attachments

  • 1583a65e91fd43f38f064df5feec4717.jpg
    1583a65e91fd43f38f064df5feec4717.jpg
    30.2 KB · Views: 82
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom