For Gamers: Maajabu ya Far Cry 3....

For Gamers: Maajabu ya Far Cry 3....

shida ya hili gemu kama computer yako ina uwezomdogo hautalicheza,kwa kifupi hili game ni zuri hila mwanzoni ni pagumu!
 
shida ya hili gemu kama computer yako ina uwezomdogo hautalicheza,kwa kifupi hili game ni zuri hila mwanzoni ni pagumu!

Kweli kabisa, na sidhani kama bila graphic card linakubali, mwanzo ni pagumu hasa pale kipindi unakimbizwa nilipata shida sana, kwa yule jamaa anayeshuka toka juu..
 
Laptop yangu ina 4gb of Ram, intel core i5, 2.67GHz, 600gb HDD, Windows 7 home premium 64 bit. Aina ya Toshiba Satellite M645. Je litacheza vizuri ilo game?
 
mkuu wat good thing about this game?!! Nataka nichec compatibility ya graphic yangu kama vp niivute
 
Back
Top Bottom