Wewe siyo single tena!....i have already taken you!Kwichikwichi siwezi my dear wa kumkwichicha sina.
Ucjali utafika tu uhengani maana hata babu alikuwa kijana atiHongera mie ndiyo kwanza nipo 20years.
Okay bae.Wewe siyo single tena!....i have already taken you!
All my life I've prayed for someone like you,Yes i pray that you do love me too!Okay bae.
Hiyo swala ya ke au me tutajua hiyo siku ikifika maana itabid tuchunguliane kwa mbali kujua sura ya kidate usije kukutana na nduliAwee. Me/ke?
Mh ntacheza kwa step mkuu ila mtu km mzigua simtaki kabisa nshamuogopa hata kabla sijakutana nae asije nipatia kichambo hadharani bure kisa labda nishindwr mnunulia ile wine wadada wanakunywa chupa tano ile sijui ndo LOBETSONUtanogewa uanze kulia lia... kuna watoto watamu
Hahaha... hivi ni vitisho vya mitandaoni tu ninjas never die... goMh ntacheza kwa step mkuu ila mtu km mzigua simtaki kabisa nshamuogopa hata kabla sijakutana nae asije nipatia kichambo hadharani bure kisa labda nishindwr mnunulia ile wine wadada wanakunywa chupa tano ile sijui ndo LOBETSON
Haa hayo sasa ni mateso bila chuki unaanzaje kula na kulala na kuniacha mm naangalia TV mwenyewe....Wamekusikia , mi ndo kwanza nataka Mima white cute aje anipikie ndizi nyama !! Nile nilale zangu ,abaki anaangalia TV !!
Daby kama vile unaendesha Bahati nasibu.Haa hayo sasa ni mateso bila chuki unaanzaje kula na kulala na kuniacha mm naangalia TV mwenyewe....
Khaaaa unanijuaga fujo zangu kama TV tuangalie wote kama kulala tutalala wote...si ulisema tutakuwa wote kwenye shida na raha ..unajisahaurisha
Sasa natambua kwann wanakuita Sukari !!.Haha I told you.
mapenzi ya sikuhizi buana! yani mnatengenezea na stori na youtube na vipindi ikwa tvWadada wa mjini wanakuambia mambo ni hiviiiii![]()
... kama uko na mpenzi na unawasi naye nikuambie tu usimkanyage hata kwa bahati mbaya, wala kuchelewa kujibu salamu anaweza kuchukulia sababu ukaachwa ndani kesho kutwa.
Wale Team single humu jukwaani naona washaanza kugawa vilikes ili tu umsemeshe tu.. ni kweli upweke mbaya so, shikilia hiyo maneno mathee. Kwenye clubs utaulizwa vipi kesho kutwa utakwepo hapa tena hubby/baby!
Take this, Valentine’s Day is a celebration of love, but it doesn’t mean you should crawl into bed, cover yourself and weep just because you’re single.
If nothing else, do what professional singles do - send yourself a bunch of flowers Or make it a ‘me day’ - treat yourself to anything that pleases you or just spend the day surrounded by friends, trashtalk Valentine’s day and cheesy lines from soap operas and romantic films.
As long as you love yourself, that’s all the love you need. At least, till you find a glove and decide you want to find the other pair, right! Sio ukimbilie kutafuta kamahusiano ka muda kisa your shoga is going to have funny na shemeji basi nawe utake...mwezi huu ukiisha unaanza kulia lia.
Wishing you all the best guys, and be care. Wale mko single msiache kulike.
Bahati nzuri ananijua fujo zangu..labda nimuulize mima cute eti utakubali putin alale wewe utazame tu tv?
shemeji ni wewe uko na jina refu hivi?Sasa natambua kwann wanakuita Sukari !!.
Ebwana iki kibonge Mima white cute nakuambia nikama Asali !!.wewe ndiye sukari ya mima bhn

yap ...Sure?
Mayoooooo Mima white cute ,mbn Mimi niwaziwan huko Victoria kwahaya mambo mmmmhhh ndo maana nakumisimo.Bahati nzuri ananijua fujo zangu..
Yahni tukilala tulale wote tukiangalia TV tuangalie wote...
Mm sipo tayari kuangalie TV yeye alale kama kachoka sana huo muda wa kuangalia TV ni bora nimkande kande hivi kumuondolea uchovu.
Hongereni 25 ya ndoa? Real?mapenzi ya sikuhizi buana! yani mnatengenezea na stori na youtube na vipindi ikwa tv
mbona mapenzi marahisi sana!
as for me and my husband... valentine kwetu ni kila siku mwaka wa 25 wa ndoa... mapenzi hayana formula sijui usimtukane sijui usimkanyage eh kwani we malaika?!
ku cheat kupo msitishwe na kucheat, ila mjue jinsi ya kuukamatia mkate mkubwa hao michepuko wale makombo tuuu kama vile kwa Yesu na yule mama msamaria!
Miss Natafuta njoo msikie kakako anawatisha hukuu