Hahahah..!what up B?
You're too harsh.



Ha haa haaa ngoja niende kwa step......Si ndiyo hapo usimkanyage mwenzio bahati mbaya inaweza kuwa sababu ya kuambiwa utoke mwenyewe.
Wamebisha nini
indeedUsiishi maisha ya kufurahisha macho ya watu.
Utaumia
mbona sisi wengine tupo single na wala roho zetu hazipapariki kama bisi ..yaani hatuna mpngo kabisa na hiyo sikukuu..namaisha yanasonga wala sijawahi kuona kuwa kunakitu nilichopungukiwaUbishi wao ni siku hiyo wata force mambo ili nao waonekane wamo...
Baada ya hiyo siku kupita, majutoo huanza...
Cc: mahondaw
Thank you for wishes.Daby allow me to add a little....
Valentine's Day should not just be associated with romantic love, exclusive to couples only. It should be a holiday celebrated by all and a holiday for all types of love.
And also, a reminder that one does not need to be in a relationship to enjoy Valentine's Day.
View attachment 694029