Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Halafu wewee, kwanini ume-like sasa?Kwa hiyo nimelike nipo single dah
Halafu wewee, kwanini ume-like sasa?Kwa hiyo nimelike nipo single dah
Nakumbuka my.......ha ha haaaaaHahahahah nakupenda pia Chaukorofi Wangu.
Ivi unakumbuka enzi za ID zote nizamtu mmoja???![]()
![]()
Amekutania.....Haswa
Watachagua wenyewe tu....mungu mmoja tu...ila njia za kumuabudu ndio tofautiHapa ndo unaniwazisha ,hao watoto watakua Dini gan?![]()
Anyway ,nitalifanyia kazi!!. Unachonipa nizaidi ya Dini ,hata ivo we ni mama bora namlezi sahihi.
Nimejikuta tuHalafu wewee, kwanini ume-like sasa?
Hilo siyo la kuuliza, ni kutekeleza tuKwichi kwichi ?
Okay kumbe bahati mbaya.Nimejikuta tu
SawaaOkay kumbe bahati mbaya.
Nitakuwepo nyumbani, tutashinda pamoja hakuna u-singo hapo
Hahaha sawa Mama !!.Watachagua wenyewe tu....mungu mmoja tu...ila njia za kumuabudu ndio tofauti
Wanasemaga mungu wa wamasai ndio mungu wa wamang'ati