Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
- Thread starter
- #101
Keanza atakuwa amecheza chini ya kiwangoBahati nzuri ananijua fujo zangu..
Yahni tukilala tulale wote tukiangalia TV tuangalie wote...
Mm sipo tayari kuangalie TV yeye alale kama kachoka sana huo muda wa kuangalia TV ni bora nimkande kande hivi kumuondolea uchovu.
shout out kwako mkuu !!.