For all singles out there (valentine humorous)

For all singles out there (valentine humorous)

Wadada wa mjini wanakuambia mambo ni hiviiiii ... kama uko na mpenzi na unawasi naye nikuambie tu usimkanyage hata kwa bahati mbaya, wala kuchelewa kujibu salamu anaweza kuchukulia sababu ukaachwa ndani kesho kutwa.

Wale Team single humu jukwaani naona washaanza kugawa vilikes ili tu umsemeshe tu.. ni kweli upweke mbaya so, shikilia hiyo maneno mathee. Kwenye clubs utaulizwa vipi kesho kutwa utakwepo hapa tena hubby/baby!

Take this, Valentine’s Day is a celebration of love, but it doesn’t mean you should crawl into bed, cover yourself and weep just because you’re single.

If nothing else, do what professional singles do - send yourself a bunch of flowers Or make it a ‘me day’ - treat yourself to anything that pleases you or just spend the day surrounded by friends, trashtalk Valentine’s day and cheesy lines from soap operas and romantic films.

As long as you love yourself, that’s all the love you need. At least, till you find a glove and decide you want to find the other pair, right! Sio ukimbilie kutafuta kamahusiano ka muda kisa your shoga is going to have funny na shemeji basi nawe utake...mwezi huu ukiisha unaanza kulia lia.

Wishing you all the best guys, and be care. Wale mko single msiache kulike.
Kwa bahari Nzuri Valentine's imeangukia kwny kwaresima, na pia kwa wenzetu waislam Nimeona Kuna waraka Umetoka unawapiga Marufuku kusherehekea Valentine's.

So kwa wenye wabebiz zaidi ya mmoja Tumepata sababu Nzuri ya kutotoka nao!
 
mbona sisi wengine tupo single na wala roho zetu hazipapariki kama bisi ..yaani hatuna mpngo kabisa na hiyo sikukuu..namaisha yanasonga wala sijawahi kuona kuwa kunakitu nilichopungukiwa
Sure?
 
Kwa bahari Nzuri Valentine's imeangukia kwny kwaresima, na pia kwa wenzetu waislam Nimeona Kuna waraka Umetoka unawapiga Marufuku kusherehekea Valentine's.

So kwa wenye wabebiz zaidi ya mmoja Tumepata sababu Nzuri ya kutotoka nao!
Mtasumbuliwa hadi mkereke labda uhame mji.

Siku hiyo ndiyo kwanza unatumiwa meseji baby ndiyo natoka nipande tax au bajaji?

Kama unao watano ndiyo utaona msafara wa bajaji unaongozana kwako kama kuna kitchen party.
 
Hahaha mkuu ukishakuwa na wabebiz wengine hivyo unawapanga tu, kwanza kwaresima itahusika, au vipi safari ya ghafla ya kikazi itajitokeza!

Halafu sio wote lazima wapajue home kwako, Kuna mmoja wa Mhimu tu Ndio anaruhusiwa kupajua
 
Haha nimekupata.... unawahi kanisani mapema.

Siku hiyo unazungukia na jumuiya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom