MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 256
William to replace Mata who is on his way to Man Utd as part of Rooney's deal.
Is matter transfer deal already confirmed?
William to replace Mata who is on his way to Man Utd as part of Rooney's deal.
Hapo nyuma bila kumsahau another of Mou's favorite, Marco Van Ginkel
Is matter transfer deal already confirmed?
Siku za Mata zinahesabika sasa or else Abramovich aingilie kati coz we are told he's one of Roman's favorites
Halafu kumbuka the initial bid Chelsea made to Man Utd kuhusu Rooney?
May be kina Moyes baada ya attempts zao za usajiri kufeli wanaconsider kumchukua Mata na some cash for Rooney, who knows?
Oscar anaweza kuwa U21 and thus not counted in the 25 senior squad?
How about Moses? Home grown player?
Sometimes nakubaliana na jibe la Mourinho dhidi ya Spurs.
Kwa nini Spurs walimpeleka William medical kabla ya kusaini chochote?
Kwa nini spurs waliitangazia dunia jana kuwa William is doing medical wakati hata hawakusaini chochote?
Mara nyingi huwa nasikia wakisema kuwa mchezaji amesaini mkataba au klabu A imekubaliana na timu B kumuuza mchezaji C subject to passing medical.
Mie nilivyosikia jana kuwa William yuko spurs for a medical nikadhani tayari wameshasainiana kila kitu.
Mourinho amesema ukweli kuwa sometimes it is better to do the medical in secret to protect the player.
He says that "the best thing to do is have the medical in secret" to save embarrassment for the club and the player.
Maana kama akifail medical ina maana kuwa umeshamharibia mchezaji husika future yake.
Spurs should learn from this. Halafu nadhani kama bado Mourinho anaendeleza bifu lake na AVB.
Na Mikel?
Dongo zito mnooo kwa AVB na team yake ya mascout ila litampa darasa or else kina Lamela na Pjanic wanaweza kuishia Arsenal.
Mourinho ni mcheza rafu mzuri tu kwenye usajili, kumbuka saga la Mikel na A.Cole!!!!!!
Labda dili la Bale limewachanganya. But they must have learnt from this blunder.
He is still around na deadline inakaribia, i.e sept. 2.
Madrid jana kwenye website yao walionyesha jezi zilizo sokoni za msimu huu na jezi namba 11 yenye jina na Bale na leo kuna stage inaandaliwa Bernabeu, sijui ndio ya kumtambulisha Bale?
Gareth Bale flies into Spain as Real Madrid transfer moves closer
• Bale in Marbella before expected unveiling on Tuesday
• Barcelona manager says fee shows 'lack of respect'.
BBC Sport - Gareth Bale must integrate at Real Madrid - Steve McManaman
Gareth Bale must integrate at Real Madrid - Steve McManaman
Gareth Bale flies into Spain as Real Madrid transfer moves closer
Bale in Marbella before expected unveiling on Tuesday
Barcelona manager says fee shows 'lack of respect'.
BBC Sport - Gareth Bale must integrate at Real Madrid - Steve McManaman
Gareth Bale must integrate at Real Madrid - Steve McManaman