Fools day imepotezewa

Mkuu kumbuka dunia ya leo ni tofauti sana. Mtandao umefanya tuwe karibu karibu mno. Na April fool Kwani ni leo!?
Hata mtandao ni mambo ya nje nao tuacheni nao!? Hakuna ubaya kuiga ali mradi tu tunachoiga hakina negative impact kwenye jamii yetu ya Watanzania.

Watz ni watu wa kufade up things fools day imepotezewa kama ilivyopotezewa Valentine day! Safi sana ila Watz tupunguzeni uboya na kushadadia mambo ya nje
 
Kaka nimepost muda huu kwa makusudi kabisa utaona turnover ya kesho fewer hours from now
 
Watz ni watu wa kufade up things fools day imepotezewa kama ilivyopotezewa Valentine day! Safi sana ila Watz tupunguzeni uboya na kushadadia mambo ya nje
In the next few hours tutaona impact
Nani kaipoteza??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yan mwaka jana sitasahau...nilitumiwa msg na namba flan hivi ya mtu namfaham..akanambia "yule mchumba ako kafumaniwa sehemu flan nenda sa hv ukaone"

Sikuwaza wala sikufikiria hilo nkatulia kimyaa....

baada ya saa moja ikaja ingne kutoka kwa mtu mwingine inasema kitu kile kile...

uvumilivu ukanishinda...kilichofuata SINA RAFIKI HADI LEO..woote piga chini staki akili za kipumbavu na ujinga ujinga kuzinguaaa!
 
Back
Top Bottom