Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Kule Loliondo Babu aliamua kutibu kutokana na matatizo mbalimbali. Basi kukawepo foleni ya watu wa kisukari, ya athma, ya presha, ya kansa mbalimbali na ya wenye HIV. Hii ni kuboresha huduma tu! Basi ile foleni ya wenye HIV haikuwa na watu. Babu akasimama akasema kwa kuwa hii foleni ya wenye HIV hakuna watu basi inabidi dawa yake tuimwage! Weeee watu wakang'aka aaaaaaaaaaaah wapi sisi tutainywa hata hiyo hivyo hivyo!