Foleni ya Mbezi mwisho Kwa mida ya Asubuhi.

Masterplan

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
209
348
Unaweza ukaamka zako asubuhi Saa kumi na mbili kasoro labda, ila kwa foleni ya pale kwenye makutano ya Gari zinazotoka na kuingia stendi ya daladala mbezi mwisho ni changamoto Sana.

Haswa hii foleni inachangiwa na Gari zinazoingia stendi ya Mkoa (Magufuli stand), serikali iangalie namna ya kutatua hii changamoto, kwa sababu pale zinakutana Gari zinatokea pia Makabe na Goba.

Kiujumla pale ni makutano makubwa kwann serikali isifikirie namna ya kutatua hii changamoto.

Nakaribisha maoni ya namna yakutatua changamoto hii.
 
Hatua Kwa hatua, tutafika, tumekusikia, tutakufikia! Ubungo tumemaliza na huko tuna kuja!

Tutaipeleka stand pale ruvu darajan ili kutatua hii Kero Ndugu zangu wapendwa Sana!
 
Ahsante kwa kuchangia, japo hiyo sio njia sahihi ya kutatua changamoto hii.
 
Ila kwa wale wanaotokea Malamba kuepuka foleni ni bora ukazunguka huku kwa Yusuf ili kuingia barabara kubwa kuliko kupitia upande ambao daladala zinaingia stand.
 
Unaweza ukaamka zako asubuhi Saa kumi na mbili kasoro labda, ila kwa foleni ya pale kwenye makutano ya Gari zinazotoka na kuingia stendi ya daladala mbezi mwisho ni changamoto Sana.

Haswa hii foleni inachangiwa na Gari zinazoingia stendi ya Mkoa (Magufuli stand), serikali iangalie namna ya kutatua hii changamoto, kwa sababu pale zinakutana Gari zinatokea pia Makabe na Goba.

Kiujumla pale ni makutano makubwa kwann serikali isifikirie namna ya kutatua hii changamoto.

Nakaribisha maoni ya namna yakutatua changamoto hii.
Kwani huoni hizo taa zinazofungwa kuanzia kimara kuja huku mbezi Na bado tu unalalamika.
 
Back
Top Bottom