Masterplan
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 209
- 348
Unaweza ukaamka zako asubuhi Saa kumi na mbili kasoro labda, ila kwa foleni ya pale kwenye makutano ya Gari zinazotoka na kuingia stendi ya daladala mbezi mwisho ni changamoto Sana.
Haswa hii foleni inachangiwa na Gari zinazoingia stendi ya Mkoa (Magufuli stand), serikali iangalie namna ya kutatua hii changamoto, kwa sababu pale zinakutana Gari zinatokea pia Makabe na Goba.
Kiujumla pale ni makutano makubwa kwann serikali isifikirie namna ya kutatua hii changamoto.
Nakaribisha maoni ya namna yakutatua changamoto hii.