Foleni ya abiria wa Mwendokasi Mbezi inanikumbusha 1980s baada ya Vita foleni za Wananchi Ugawaji na Maduka ya Kaya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Kiukweli Wanasiasa wa Tanzania bado wana mapungufu ya kimtazamo kwenye maeneo mengi.

Leo nimeona foleni pale Mbezi Mwisho nikashangaa hawa maelfu ya watu Kwenye foleni wanasubiri nini? Mwanafunzi mmoja akanijubu hao wanasubiri basi la Mwendokasi.

Wanasubiri basi ambalo hawajui kama litakuja au litakuja saa ngapi.

Labda ni kwa sababu ya Vita ya Gaza!

Jumaa Mubarak 😀
 
Uwajibikaji - Uwajibikaji - Uwajibikaji.
Kuvumilia uzembe na ufisadi kwenye sekta muhimu za huduma kwa wananchi.
Kiukweli Wanasiasa wa Tanzania bado wana mapungufu ya kimtazamo kwenye maeneo mengi.

Leo nimeona foleni pale Mbezi Mwisho nikashangaa hawa maelfu ya watu Kwenye foleni wanasubiri nini? Mwanafunzi mmoja akanijubu hao wanasubiri basi la Mwendokasi.

Wanasubiri basi ambalo hawajui kama litakuja au litakuja saa ngapi.

Labda ni kwa sababu ya Vita ya Gaza!

Jumaa Mubarak 😀
Mzee Mbowe anasemaje kwani? Siku hizi ana mbinu mpya za kukisifia kwani kila msiba anaoshiriki huwa ni lazima aseme kuwa marehemu alikuwa ni mshauri wake
 
Kiukweli Wanasiasa wa Tanzania bado wana mapungufu ya kimtazamo kwenye maeneo mengi.

Leo nimeona foleni pale Mbezi Mwisho nikashangaa hawa maelfu ya watu Kwenye foleni wanasubiri nini? Mwanafunzi mmoja akanijubu hao wanasubiri basi la Mwendokasi.

Wanasubiri basi ambalo hawajui kama litakuja au litakuja saa ngapi.

Labda ni kwa sababu ya Vita ya Gaza!

Jumaa Mubarak 😀
Picha hiko wapi na kisimu chako kisichokuwa na camera!!!
 
Kiukweli Wanasiasa wa Tanzania bado wana mapungufu ya kimtazamo kwenye maeneo mengi.

Leo nimeona foleni pale Mbezi Mwisho nikashangaa hawa maelfu ya watu Kwenye foleni wanasubiri nini? Mwanafunzi mmoja akanijubu hao wanasubiri basi la Mwendokasi.

Wanasubiri basi ambalo hawajui kama litakuja au litakuja saa ngapi.

Labda ni kwa sababu ya Vita ya Gaza!

Jumaa Mubarak 😀
Yaan inanikumbusha kwenye somo la history form two ..

MODES OF PRODUCTION
*Communalism
*Slavery
*Feudalism
*Capitalism
*Imperialism

Waendelee kujikaza ivyo ivyo😊😊😊😊😊🤓🤓🤓🤓🤸🤸🤸🤸🤸

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kiukweli Wanasiasa wa Tanzania bado wana mapungufu ya kimtazamo kwenye maeneo mengi.

Leo nimeona foleni pale Mbezi Mwisho nikashangaa hawa maelfu ya watu Kwenye foleni wanasubiri nini? Mwanafunzi mmoja akanijubu hao wanasubiri basi la Mwendokasi.

Wanasubiri basi ambalo hawajui kama litakuja au litakuja saa ngapi.

Labda ni kwa sababu ya Vita ya Gaza!

Jumaa Mubarak 😀
Bila picha ni ugali bila mboga
 
Halafu kuna wapumbavu wawili kwa kofia ya rcs wanakuja na statement za hovyo ati mabasi ya kutoka mikoani yashushe abiria wote Magufuli terminal regardless yanaenda mjini au hayaendi, bado hawajaelewa hadi sasa msaada na mchango mkubwa wa makampuni ya usafirishaji yanayoshusha abiria Ubungo

Dawa ni moja
Kuwapokonya magari ya umma na wao watumie mwendokasi ili waonje adha hiyo pengine wataona umuhimu wa kutimiza wajibu wao
 
Back
Top Bottom