Foleni ya Kongowe - Kibaha leo 12.03.26 ni mbaya sana

Foleni ya Kongowe - Kibaha leo 12.03.26 ni mbaya sana

The lariat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2025
Posts
1,354
Reaction score
1,912
Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi.
Sereikali mko wapi?

Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu?

Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi?

Wako wapi wakuu wa Tanroads wenye akili?
 
Barabara ya Morogoro ni kimeo kwa sababu.
1. Ni nyembamba.
2. Shughuli za kibinadamu zipo karibu mno na barabara.
3. Barabara inabeba malori/mabasi karibu 80% ya yanayotoka na kuingia Dar es Salaam.
4. Ni mbovu hakuna mfano, ukiacha kipande cha Dar - Mailimoja na zile kilometa sijui 2 pale Vigwaza
 
Back
Top Bottom