Na huo ujenzi hapo Kimara hauishi. Kila siku ndo kwanza wanachimba mashimo. Hopulesi kabisa.
Mwendokasi nadhani lilikuwa wazo zuri japo sikuelewa ni kwa nini tusingeanzisha njia za treni badala ya mabasi. Kila dakika 5 au 10 treni yenye mabehewa 10 hivi inapita na kuzoa kila abiria. Inafika mahali watu hawaoni hata sababu ya kuendesha magari kwenda katikati ya mji.
Lakini kwa vile hakuna tunachoweza kufanya kwa ufanisi hata hizo commuter trains si ajabu tungezitelekeza na kuziharibu kama tulivyofanya kwenye mwendokasi. It is very sad that we can't do shit!