MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,600
- 2,759
Kweli kabisa halafu weekend unajikuta unamaliza muda mwingi kupumzika badala ya kuiangalia miradi yakoYaani tunalazimishwa kuamka alfajiri sana na kuondoka mjini mapema jioni sana hata saa 8 hivi
Kweli kabisa halafu weekend unajikuta unamaliza muda mwingi kupumzika badala ya kuiangalia miradi yakoYaani tunalazimishwa kuamka alfajiri sana na kuondoka mjini mapema jioni sana hata saa 8 hivi
Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali?
Kimara mpaka Ubungo ni kama Jehanamu, TANROADS wajitafakariAisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
Mkuu mimi nadhani halirekebishiki tena kabisa au litahitaji gahrama kubwa mno. Siku nyingi tulishapendekeza. Sehemu ilipo Bagamoyo kwenda mbele lijengwe jiji jipya kwa mpangilio. Tuwe na Dar mpya na ya zamani na iunganishwe kwa treni...Swala la bara bara kwa Daslm limetushinda sana sioni kama tatizo litatuliwa karibuni na nilitegemea mikoa inayokua kwa kasi pia wangeweka kipaumbele ni kuwa na bara bara za kutosha na kubwa wao bado wapo kwenye ukarabati tu sioni wakiwaza nje ya hapo..
Pole mkuu, hao jamaa kunasiku hawapokei hawatabiriki kabisa.Leo nimejichanganya nimepita mwendokasi na tuktuk langu wazee wamenidaka ikabidi niache pesa
Hio morogoro road wameikosea kitambo sana toka hapo kwenye junction hadi mbezi zile junction hawakuziweka vizuri na barabara ni nyembamba sana pamoja na kuongeza njia za mwendo kasi. Hio foleni itaendelea na itakuwepo sana kwa muda mrefu I'm afraid. Sometimes uwa naona kama hamna wasomi bongo kwasababu ya vitu kama hivi.Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
Ni kwa nini barabara za mwendokasi kuanzia Kimara mpaka Kibaha hazifanyi kazi? Zinaota nyasi tuHio morogoro road wameikosea kitambo sana toka hapo kwenye junction hadi mbezi zile junction hawakuziweka vizuri na barabara ni nyembamba sana pamoja na kuongeza njia za mwendo kasi. Hio foleni itaendelea na itakuwepo sana kwa muda mrefu I'm afraid. Sometimes uwa naona kama hamna wasomi bongo kwasababu ya vitu kama hivi.
Majibu uliyopata mbona hujaleta mrejesho jukwaani?Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
Okitoberi unatiiikiii au?Ni kwa nini barabara za mwendokasi kuanzia Kimara mpaka Kibaha hazifanyi kazi? Zinaota nyasi tu
Omba mungu usipate nayo ajali.Sitajuta kununua pikipiki nimetoka zangu town napenya tu
Mwaka 2001 kulikuwa na mzee mmoja pale IRDP - Mipango, aliishauri serikali kuhusu kuondoa foleni kwenye miji mikubwa kwa miaka 30 - 50 (kuanzia 2001), lakini hawakutaka kuimpliment, badala yake huo mpango ndio umekuwa implimented na WB kwa nchi 14 na ambao leo unaitwa DMDP.Planning mbovu. Yaani ka mji kama haka kila sehemu ni foleni.