Foleni kali sana Ubungo - Kimara

Foleni kali sana Ubungo - Kimara

Swala la bara bara kwa Daslm limetushinda sana sioni kama tatizo litatuliwa karibuni na nilitegemea mikoa inayokua kwa kasi pia wangeweka kipaumbele ni kuwa na bara bara za kutosha na kubwa wao bado wapo kwenye ukarabati tu sioni wakiwaza nje ya hapo..
Tuna mipango mizuri sana kwenye makabati, lakini CCM kwa kupenda ufisadi, hawawezi kukubali kumaliza tatizo, maana watakosa pa kupigia kodi zetu.
 
Hiko kipande cha ubungo kimara mwisho kimetengenezwa kijinga sana, hiyo Barabara ni nyembamba halafu imewekewa kingo za tofari, ikitokea breakdowns ya Lori kidogo tu tayari majanga.

Hivi kwa jamii ya watu wanaojielewa Ile kweli ndio main highway yakutoa magari yote kwenda nje ya nchi ya mikoani?

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Sijui walikuwa wanawaza nini
 
Ni mafundi walikuwa wanaziba viraka kimara.Ni ujinga Gani kuziba virraka katikati ya wiki badala ya juma pili magari machache
 
Ujinga bado ni tatizo kubwa hapa nchi. Hata baba wa taifa alisema
Ni kwa nini barabara za mwendokasi kuanzia Kimara mpaka Kibaha hazifanyi kazi? Zinaota nyasi tu
Ni ujinga tu. Hii nchi tunaela upumbavu sana. Viongozi wamekuwa mazezeta sana hakuna uwajibikaji na sisi wananchi tupo tupo
 
Back
Top Bottom