Foleni Dar es Salaam

yaani ndo kwanza kibamba hapa,nasikia mizani gari hazipimi ili kupunguza foleni
_sijui mwanza tutafika saa ngapi
_
_
_

Dah kumbe unasafir...Mwanza labda saa 3 usiku
 
pole...kama unaweza kupita chochoro nyingine hata kama ni mzunguko mrefu sana ni afadhali kuliko ubungo mataa coz pale nahisi kuna kaibilisi kadogo

Hahahaaa kuna mtu alishawahi kumpiga picha JINI pale mataa Ubungo
 

Kuna umuhimu wa kufikiria juu ya matumizi ya baiskel
 
Mi ndio natoka kibamba nakuja posta nipite wapi maana mnanitisha
Mkuu cjui umefika wapi, ila ukifika kimara ingia barabara ya mwendo kasi, njoo nayo mpaka kona kisha subr folen uunge kuja town, leo folen inaanzia resort, hyo mpaka ubungo... Pole m imebidi ntumie njia hyo nshafika ofcn japo kwa kuchelewa..
 
Kwa bahati nzuri serikali ya CCM iko katika "mchakato" wa kutatua hili.

yaah..,serikali sikivu ya ccm ishasikia kilio chao italimaliza tatizo soon..,
coz ilikuwa bize kumalizia kuhamisha fedha kutoka akaunt ya escrow..,
si mmeona na nyinyi..., wachawi na wenye wivu wa kike walishaanza kuzipigia kelele
...,
teh teh teh teh teh...:loco:
 
Wewe Ndio unaishi Kimara? Halafu umehamia hivi karibuni? Na jina lako la JF linaanzia na herufi H? Nimeuliza tu
 
siku nyingine ukiwa na safari uwnja wa ndege
amka kitandani saa 8 usiku ili kuwahi ndege ya saa 1 asbh..
kaka au ulijisahau kuwa upo ulaya..,hii Dsalaaaam bhana..,
 
Bora mi nipo kijijini foleni naisikiaga kwenu tu
 
Dar ni shida tabu tupu,,,, bora mie huku foleni naziona kwenye tv tu.
 
Wewe Ndio unaishi Kimara? Halafu umehamia hivi karibuni? Na jina lako la JF linaanzia na herufi H? Nimeuliza tu

Mmmmhhh ya mr.gentlemen ninii au!!??
 
poleni mnaopenda muda wote kufata njia kuu hata kama ina matatizo. Mi natumia hiyohiyo moro road lakini michepuko kwangu ni dili na nawahi mjini!
 
siku nyingine ukiwa na safari uwnja wa ndege
amka kitandani saa 8 usiku ili kuwahi ndege ya saa 1 asbh..
kaka au ulijisahau kuwa upo ulaya..,hii Dsalaaaam bhana..,

Unajua mimi nikiwa nasafiri huwa nakula boda ya Kinyerezi bwana,sasa nilivoona ndege ni ya saa moja na nimewahi kuamka saa kumi na dakika 45 ndiyo nimechomoka home sasa nikajidanganya eti nimewahi foleni na pia kwa kuwa eti ndege ni saa moja nikaona eti siyo issue na wife akanishabikia mbaya,weeeeeeeeee kufika Ubungo nimetamani ninyanyue gari juuu niibebe sema kusema ule ukweli leo hakukuwa na foleni ya kucheck in otherwise ilikuwa imekula kwangu maana nimeingia JNIA saa 06.25 ila nimepata somo next time sidanganyiki na njia ya Ubungo tena,STRABAG wachawi tu wanatutengenezea balaa badala ya barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…