Wakuu naomba kuelewa maana ya maneno hayo hapo juu.Asanteni naomba kuwasilisha.
majibu yenu mazuri lakini sasa kuna umuhimu gani wa hili jukwaa?
katika kutoa majibu jaribu kuangalia huoy mtu kajiunga lini! kuna "newbie" ambao wanahitaji kuongozwa hata hayo matumizi ya google.Hapa ni mahali pa great thinkers ndio maana jamaa wanakushambulia kwa post ya kitoto
Not only that,despite of the join date any question asked goes answered,it may be stupid to you but not to the person asking. Mjirekebishekatika kutoa majibu jaribu kuangalia huoy mtu kajiunga lini! kuna "newbie" ambao wanahitaji kuongozwa hata hayo matumizi ya google.
sharobalo majibu kama haya wana techno hatuna,yapo huko kwingine nadhani ushahidi upo chini hapo ulikutana nayo kwenye mada yako huko MMU. Huku sisi ni wakarimu na kila swali lina uzito wake. Take it easy tuko Pamoja!https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/138990-swali-kuhusu-mtoto.htmlpole mkuu!!HATA KU GOOGLE HUWEZI?!!
Wakuu naomba kuelewa maana ya maneno hayo hapo juu.Asanteni naomba kuwasilisha.
Shukran Zing unaonesha utu uzimaHaya bila ku google ni hivi-FM tramsmiiter ndiyo inayotumika kurusha mawimbi ya fm. Unaweza kuwa mnara mkubwa na ku retramsmit. Mfano vituo vingi vya televisionn na radio Dar vina Tramsmiter zao kisarawe. -FM radio ni mawimbi ya sauti yanarushwa kwenye masafa ya FMkitaalam ukisema neno radio maana take ni mawimbi/ waves. Na kabla ya kuwa na mawimbi ya FM lazima yawe tramsmitted na FM transmiter.Kwa uchambuzi na maelezo ya kitaalam anzia hapa Transmitter - Wikipedia, the free encyclopediaFM broadcasting - Wikipedia, the free encyclopedia
And i'm guessing the difference btn FM and AM of MW lies in frequency?
Umuhimu wa hili jukwaa ni pamoja na kupewa ushauri na ndo maana umeambiwa uka google utapata maelezo ya kutosha, okmajibu yenu mazuri lakini sasa kuna umuhimu gani wa hili jukwaa?
FM -Frequency ModulationAnd i'm guessing the difference btn FM and AM of MW lies in frequency?
unaweza ku-google na usielewe! inategemea na fani yakoMe naaona kumpinga mtoa mada akati anaataka msahada ni ufinyu wa wamawazo...hii inaonesha mnajiita great thinkers wakati hamna kitu...me sijaona haja kama mtu anajua jibu asilitoe kisa google ipo ....hii niishara kuwa hamjui tofauti ndo maana mnatoaa maajibu ya mkato....nimemaliza staki nijibiwe
Hapa ni mahali pa great thinkers ndio maana jamaa wanakushambulia kwa post ya kitoto
This is not a childish post hivi mnafahamu ya kuwa ujuavyo ww sio wengine wajuavyo thats y kuna forums mbalimbali mtu anavyouliza anataka kujua kwani hiyo google yeye haifahamu? Ina maana wazungu kwene forums zao mbona huuliza maswali kama hayo ina maana hawajui matumizi ya google?