Fly-overs zinakuja Dar !!

Fly-overs zinakuja Dar !!

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Dar itapendeza sana na fly-overs hizi !!
 

Attachments

  • flyovers01.jpg
    flyovers01.jpg
    81.1 KB · Views: 301
Mu Israel unawadanganya watu flyovers ulizoweka ni za kiwango cha juu na ni za aina yake duniani, hizi ulizoweka ziko Texas Marekeni na ni kubwa kuliko zote duniani
 
Mu Israel unawadanganya watu flyovers ulizoweka ni za kiwango cha juu na ni za aina yake duniani, hizi ulizoweka ziko Texas Marekeni na ni kubwa kuliko zote duniani

Hizi fly-overs zinakuja Dar. Mambo mazuri yanakuja Tanzania. Check utajiri wa mali asili tulionao, na hivi karibunu tu, mafuta kibao yamegunduliwa ziwa Tanganyika.
 
yale yale kama ya wanasiasa...ahadi 100 kidogo
 
Huo ni mradi hauwezi kuzuka kama unakaanga maandazi. Kuna upembuzi yakinifu ambao huchukua muda na hatimaye mradi kuanza. Wanaofikiria kwa masaburi ndio wana papara. Acha rais afanye kazi.
 
Mu - Israeli unaota ndoto nzuri sana, nimezipenda.

Usiwe na shaka mkuu, inawezekana kabisa. Kuna Tzs. trilioni 16 kwenye akaunti za jamaa zetu huko ughaibuni.
Tukizinasa hizo, mambo yataiva tu.
 
umesema tukizinasa hizo trilioni 16 nakuwa na wasiwasi, ungesema tutazinasa hizo trilioni 16 ningekuwa sina wasiwasi. kwa hiyo bado ni ndoto tu kuwa na flyovers.
 
umesema tukizinasa hizo trilioni 16 nakuwa na wasiwasi, ungesema tutazinasa hizo trilioni 16 ningekuwa sina wasiwasi. kwa hiyo bado ni ndoto tu kuwa na flyovers.

Ndoto za alinacha.

Kama Kigamboni City na underground tunnels na madaraja yake yanawezekana, basi hata fly-overs zinawezekana.

Check picha hizi... Kenya wameweza ...

3-waziri_wa_Ujenzi_Dr__John_Magufuli_akionnyesha_michoro_ya_FLYOVER_ambayo_imekamilika_kwaajili_ya_kufanyiwa_kazi.jpg


attachment.php
 
barabara inabidi zifanane na akili ya watumiaji na aina ya magari wanayoendesha!
.....linganisha akili yetu na aina ya magari yetu alafu ndio useme tunahitaji miaka mingapi kuwa huko
 
kaka mbona picha yako ya profile ni yaki freemason?

Hapana, usiwe na shaka mkuu, mimi ni mwananchi wa hali ya kawaida tu. Sijawahi kuwa freemason, na wala sitakuwa freemson milele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom