beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,828
- 2,835
Hilo pambano la Mayweather vs Ortiz ndio lilifanya mchizi nikamshusha kinoma, sio uana-michezo wala uanaume jamaa alionyesha.Uwezekano wa yeyote kumpiga mwenzake kwa KO haupo labda yatokee maajabu. Mayweather hajawahi kumpinga mtu kwa KO tangu 2011 alipomtwanga Victor Ortiz, tena baada ya Ortiz kuzubaa akimsubiri refa aendeleze pambano baada ya Ortiz kucheza faulo. Pacquiao naye hajawahi kupata KO toka alipomtwanga Rick Hatton mwaka 2009. Pambano litaenda mpaka raundi ya 12 na mshindi atapatikana kwa pointi.
Sababu nyingine ya kutokuwapo kwa KO ni kwamba penda usipende pambano hili litatawaliwa na politics na business kuliko ngumi. Yatatengenzwa mazingira ya hawa jamaa kurudiana ili watu wapige hela, sasa mtu akipigwa kwa KO credibility ya kutaka rematch haitakuwepo.
Haya bwana.Hongera kwa kunishawishi hadi nimeshawishika.Sasa Floyd akichapwa tu lawama nakubebesha wewe!
Hahaaaa. ..
mi niko upande wako ingawa sina sababu nyingi za msingi, kila nikikaa naona man pac anapigwa
Mbona unadanganyika kirahisi.
Ukiwa upande wa Mayweather mbele ya huyu Mfilipino ni kujitafutia presha za bure.
Hahaha kuna ngumi zingine ukipigwa unadhani umegongwa na train
#TeamMoneyWeather with no doubt,,,weka rekodi ya kustaafu bila kupigwa. ManPac hana cha kupoteza ashalambishwa sana sakafu hahahah.
Mimi sitaki bwana maana kila mtu ananivutia kwake nimekua kama ngozi kwenye kuwamba ngoma!
Haya na tusubiri.
Kweli yako maana nakumbuka zamani Lennox Lewis alipigwa moja KO aliponyanyuka na kiwewe akauliza NIMESHINDA
Hahahaha..moneyweather ndio habari ya mjini
Zimebaki siku kumi tu tujionee nani mkali? Ukumbi utafurika safari hii, ingawa hakuna aliepata tiketi sijui zitafika $ ngapi? Pac anaweza kumchapa jamaa kwa muono wangu wewe je
Duuh! Hizo dollars ni shiidah! Vipi hilo gari ni bugatti nini?
Huyu mayweather ni mtoto wa mama tu kwa pac,ashasanda mara kibao kukutanishwa na jemedari la kifilipino,kila wakitaka kupambanishwa pambano likikaribia tu utamsikia huyu mtoto wa mama analeta visababu vya kike kike oooh,pac anatumia dawa za kuongeza nguvu,ilhali si kweli,yaani kimsingi alikuwa anaahirisha kichapo tu,huyu changudoa wa kimarekani lazima akae,tecnic zake za kitoto #team #pacquao ipo makini sana