Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Round 1 :imeanza vizuri sana na kwa mujibu wangu round hii mayweather kakaa dogo maidana kambabanisha ukutani akaanza kumpa vitasa lets wait for round 2
Round 2:kama kawaida maidana anambananisha mayweather ukutani kwenye kamba na kuanza kumshambulia ila mayweather anajitahidi kukwepa na kurusha ngumi ila bado inabidi abadilike otherwise anaweza kupoteza pambano hili
maidana is making it difficult for floyd...
round four imeisha....maidana is putting some pressure to the money team...
sure very diffcult wasiwasi wangu asije akachoka tu round za mwisho
nilika underestimate but kanatoa some pressure...some jabs are terribly exchanged...
rhis time naona mayweather na timu yake wamechoose wrong opponent
akiendelea hivi hivi pambano anashinda hili labda majudge wapendelee