Florian Kaijage apigwa chini TFF

Sound great! at least kuna ambaye anapaswa kuwajibika kama mambo yanakwenda ndivyo sivyo. Kaijage alitumia muda mwingi kupambana na waandishi wanaotaka free get pass kuingia uwanjani akasahau protocally.
 
Alisema kuanzia sasa, hata kama mitambo ya uwanjani ni mizima, patakuwepo bendi za police/jeshi ama mitambo ya tahadhari kwa ajili ya nyimbo za taifa na matangazo mengine muhimu.

Mh. Tenga wewe ni mtu makini sana na nakuaminia sana! Ila kwa bahati mbaya sana! Tena mbaya sana! Hii ndio sentensi ambayo inahitaji uwajibike wewe!

Kwamba ni kweli Kaijage aondoke, sawa, kwa kuwa ulikuwa umemwambia awe makini, lakini kwa kuwa kulikuwa na alternative ya jeshi kuwepo! na kwa kuwa la kuwepo bendi lilikuwa ndani ya uwezo wako, tena kwa kuwa lilikuwepo tangu zamani sijui muliliondoa lini? Sasa nakuhurumia kwa sababu sentensi hii itakutoa pamoja na utendaji kazi wako mzuri kwenye mapato na kuajiri vizuri.

Pole sana. But we have nothing we can help, zaidi ya kukuomba ukae kando kwa ajili la kulipa taifa letu heshima. That is about leadership!

Mwisho: Sina uhakika hata kidogo kwamba ambaye ni accountable na national anthem ni TFF, hapana kuna watu ambayo wao ndio wako full accountable hawajatajwa hapa!!!
Najua werevu watawataja. wale wanaohusika na kuhakikisha bendera ya Rais na ya Taifa inapandishwa popote alipo mimi nadhani ndio wanahusika sana zaidi ya Kaijage kuhakikisha wimbo wa Taifa utapigwa tu hata Kaijage akiugua ghafla. I rest my case
 
Amesema jambo hilo halikustahili kutokea kwa kuwa liliishawahi kutokea wakati wa mchezo na Brazil ambapo safari hii wahusika walipewa jukumu la kuhakikisha kuwa wanazijaribu nyimbo zote siku mbili kabla ya mchezo na kuhakikisha kuwa hakuna hitilafu yoyote na wahusika walimuhakikishia kuwa hakutatokea dosari yoyote.

Kumbe tukio la aina hii limeshatokea? tena mwaka jana tu?

I guess Tenga na yeye angepigwa chini tu
 
Tume ya kuchunguza CD kugoma? what a joke!!
CD ya kuchakachua, CD player ya kuchakachua.........

CRAP!!
 
Amesema TFF imemua kumwajibisha Kaijage kwa kuwa ndiye aliyekuwa amepewa jukumu la kusimamia jambo hilo. Aidha alisema wakati amesimamishwa kaijage ataisaidia timu itakayoundwa kuchunguza jambo hilo na kuongeza kuwa hatua zitachukuliwa kwa yeyote Yule atakayebainika kuhusika kwa tukio hilo.

Tenga: you are too trigger-happy to apportion blame but you are a reluctant warrior to assume responsibility. This is a sign of a poor leader and that is what you have always been...

Hivi, Tenga huoni na wewe unapaswa kuwajibika kwa Taifa Stars kufungwa nyumbani hususani kwa kumwalika Bw, Mikosi JK?
 
Kwa uzito wa jambo lenyewe Tenga alitakiwa aachie ngazi yeye! Tungemrudisha kwa heshima baadaye!!! lakini kuonyesha alichukizwa yeye ndiye alitakiwa aondoke.
Kama Chenge na yona na mramba walivyofanya sio?
 
Haisaidii, kwa staili hiyo watasimamishwa wengi pengine hata kiranja mkuu
 
Kwa serikali tuliyo nayo hata wakiunda tume hawachelewi kutuandikia pages nyingi za maelezo na mwisho wanahitimisha ILIKUWA BAHATI MBAYA. Kwa nchi kama yetu tume inatumika kupooza mambo yapite na tusahau. If we don't do changes we have accept headache to be our partiner
 
Kaijage na watu wengine pale TFF WOOTE WANALAANA, wameniudhi sana juzi kugawa vipeperushi vya ccm kwenye mambo ya mpira, nasema siudhulii tena Timu za taifa zikicheza hadi pale Tff watakapo tuomba radhi, Binafsi sikusikitika timu ile kufungwa, kwa maana timu yetu ingeshinda mijitu ingeitumia mechi ile kama turufu yao ya kisiasa, Tenga aje atuombe radhi wapenzi wa mpira wa miguu/soka hapa TZ.
 
Kama ni kweli lilikuwa jukumu lake anastahili kufungiwa sababu hii si mara ya kwanza
 
Wa kuwajibika angekuwa Tenga mwenyewe. Kumwajibisha Kaijage tu maana yake kosa hili halina umuhimu wa juu.
 
Wadau mimi hili suala la Kaijage kufukuzwa kwa kushindwa kusimamia suala la nyimbo za Taifa (national anthems) siku Tanzania na MOROCCO walipocheza naona halijakaa vema. Maswali yangu ninayojiuliza ni haya:-

  1. Kama TFF kupitia Kaijage walimpa mtu kazi, kwa tenda, ili atumbuize siku hiyo, mwenye dhamana ya kutoa tenda ni "Msemaji wa TFF" au mtu mwenye dhamana ya PROCUREMENT? Kwenye tender document si kuna mkataba na unaelekeza nini huyo atakaye tumbuiza afanye siku hiyo na endapo hataweza kuna hatua za kuchukua? (AU TFF KUPITIA KWA BW TENGA WALITOA TENDA KIENYEJI?? Kama sheria ya procurement haikufuatwa basi uwajibikaji ni kwa wengi, si Kaijage pekee....
  2. Kwa uozo huu uliofanywa mimi naona TENGA na timu yake wote wangejiuzulu kwa dhana ile ya COLLECTIVE RESPONSIBILITY maana ni TFF nzima, si Kaijage pekee aliyechemsha. Kama TENGA anamuona Kaijage hakutimiza wajibu yeye kama msimamizi mkuu wa shughuli za TFF ALICHUKUA HATU AGANI KUHAKUKISHA KUWA TIMU YAKE IMEJIPANGA VEMA NA KUWA KILA KITU KILIKUWA TAYARI (na alipaswa kufika uwanjani kucheki at least hours before)...sasa kama wote walikuwa busy kufuatilia HELA ZA VIINGILIO inakuwaje kumtoa kafara FK pekee??
  3. Nadhani TENGA na yeye yupo VICARIOUSLY LIABLE
 
Wadau mimi hili suala la Kaijage kufukuzwa kwa kushindwa kusimamia suala la nyimbo za Taifa (national anthems) siku Tanzania na Egypt walipocheza naona halijakaa vema. Maswali yangu ninayojiuliza ni haya:-

  1. Kama TFF kupitia Kaijage walimpa mtu kazi, kwa tenda, ili atumbuize siku hiyo, mwenye dhamana ya kutoa tenda ni "Msemaji wa TFF" au mtu mwenye dhamana ya PROCUREMENT? Kwenye tender document si kuna mkataba na unaelekeza nini huyo atakaye tumbuiza afanye siku hiyo na endapo hataweza kuna hatua za kuchukua? (AU TFF KUPITIA KWA BW TENGA WALITOA TENDA KIENYEJI?? Kama sheria ya procurement haikufuatwa basi uwajibikaji ni kwa wengi, si Kaijage pekee....
  2. Kwa uozo huu uliofanywa mimi naona TENGA na timu yake wote wangejiuzulu kwa dhana ile ya COLLECTIVE RESPONSIBILITY maana ni TFF nzima, si Kaijage pekee aliyechemsha. Kama TENGA anamuona Kaijage hakutimiza wajibu yeye kama msimamizi mkuu wa shughuli za TFF ALICHUKUA HATU AGANI KUHAKUKISHA KUWA TIMU YAKE IMEJIPANG AVEMA NA KUWA KILA KITU KILIKUWA TAYARI (na alipaswa kufika uwanjani kucheki at least hours before)...sasa kama wote walikuwa busy kufuatilia HELA ZA VIINGILIO inakuwaje kumtoa kafara FK pekee??
  3. Nadhani TENGA na yeye yupo VICARIOUSLY LIABLE

Point of correction: Tanzania na Morocco
 
Cha juu kimpemponza Kaijage. Yaani ubora hata angewaita wanaume family kuimba wimbo wa Taifa badala ya CD player. Wahi kwa Mwakalibela ukawanie ubunge
 
It is high time acha waanze na hicho kishoia na hao wakina tenga natumaini wako njiani. Kinachowaponza ni 10% wanatutia aibu kabisa, tazama wakati wa mechi ya brazil unaona kwenye screen desktop ya computer ya mtu, uwanja wa kisasa tabia za kishenzi. Hiyo mechi ya juzi hata wenye VVIP tickets hawakuweza kukaa kwenye nafasi zao eti zimekaliwa na watu na hapo njiani watu wamejaa vibarabarani, sehemu ya 'non smokers' watu wanavuta mpaka bangi, polisi waliokua wanagombana na watazamaji wamepotea mara tu mechi ilipoanza. Vyoo yavieleweki hao watu waliokaa milangoni ni shida shida shida hawajua lolote wanaendeleza umamluki wa vilabuni. Unataka kuniambia Tenga hajui hayo? kazi kugawana tenda tu na kututia aibu, hebu fikiria yale mangunzo pale uwanjani yule mchezaji wa moroco kaanguka nalo. These people are not serious wanachojua ni kusubiri kualikwa Ikulu kula na raisi. Sasa kwa nini hatua hazikuchukuliwa wakati wa mechi ya brazil? Tenga na kundi lake wanashindwa kuwaelimisha watanzania wanawaacha wanafanya mambo ya ajabu, wimbo wa taifa wa morocco unapigwa watu hawasimami wala kunyamaza, timu wageni wanaignia uwanjani watu wanazomea, jamani tuna laana gani? Toa Leodgar Tenga toa takataka zote hizo recruitment ifanyike properly kwa management ya uwanja wa kimataifa hivi hawaoni viwanja vya wenzetu vinavyohudumiwa? nimekua na very low opinion na Tenga sasa huo ndio usomi? kazi kujipendekeza kwa JK crap kabisa wasimamishwe wote na huyo florian asirudi kabisa tumechoka na migogoro yake na waandishi wa habari za michezo, hatumtaki kabisa.
 
Back
Top Bottom