Flora Msoffe amejifungua

dah! kweli, ndo maana jamaa alikuwa anacomment kwa hasira. ntakuja kumuona mtoto.

Kangekua kakaiume unasemaje tungekapendekezea kaitwe jina la Uncle wake Dubu ?
 

teh teh teh! Nasikia bunduki yako ya mchina hata risasi haina!!!
 
jamani hongera kwa Floramungu ampe cute baby afya njema na amlinde na ubaya wa aina yoyote ile
 
huyo mtoto mkimpa jina la Arumeru mashariki litamfaa Sana... Rejao atakuwa keshamuandalia kadi ya Chama cha Magamba...

Hongera Sana Flora .... Nahavache sana kwa kutuletea Mke
 
Hongera sana, ukihitaji jina la baraka niPM.
Tunabariki jina kwa elfu kumi tu ya Kitanzania. Mnakaribishwa nyote
 
Ni jambo la kumshukuru Mwenyez Mungu kwani dada yangu na mwana jf mwenzetu FLORA MSOFFE amejifungua mtoto wa kike leo sa 7 mchana katika hosp. Ya KCMC, tusherekee kwa pamoja.
Hongereni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…