Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
Sijui kama Congo kuna wahuni wanaofanya vurugu kwenye mikutano ya injili kwa maana ya kuwafanya hao askari wawazuie kusogea mkutanoni na kuuvuruga! Nadhani ni vurugu baina ya makundi ya kisiasa ambapo siraha za moto zinatumika. sijui kama hao askari wanaweza kuzuia risasi isimfikie Flora.Hapo ni Deteriorated Republic of Criminals (DRC), you should not expect less!
mmh nimekusoma inaonekana always una - + - hauna - + +. Vipi baada ya mgomo wa walimu kwisha bado unafundisha kinyumenyume! just la curiosité! maana ulisema hata ukirudi shule utafundisha kinyumenyume.Hapo ni Deteriorated Republic of Criminals (DRC), you should not expect less!
dah, aisee sasa nimejua kumbe mungu pekee hatoshi!!!hata hawa watumishi wanahofu na mwanadamu??
hapo ni deteriorated republic of criminals (drc), you should not expect less!
Not real, Kabila anaonyesha ukarim kwa wa TZ waliomlea.
So ukienda kule na akajua basi utapata ulinzi wa uhakika anajua wa TZ si watu wa vita
Tuiombee DRC lakini siyo kuitunuku majina mabaya coz hata wao wangependa kuwa na aman kama yetu but wachache wameivuruga,je Tanzania tunajuaje kama tutabak na aman hii milele,je siku na sisi tukiwa wakimbiz alafu waanze kutupa majina mabaya tuna-feel ashamed na nch yetu,
hahaha nimependa kirefu cha DRCHapo ni Deteriorated Republic of Criminals (DRC), you should not expect less!
Kumbe ni Congo, ngoja nisepe.mmh nimekusoma inaonekana always una - + - hauna - + +. Vipi baada ya mgomo wa walimu kwisha bado unafundisha kinyumenyume! just la curiosité! maana ulisema hata ukirudi shule utafundisha kinyumenyume.
Hapo ni Deteriorated Republic of Criminals (DRC), you should not expect less!
so unataka kutupiga fix mtanz yeyeyote akiingia DRC anapewa huo ulinzi!
Flora mbasha ni public figure so she diserve such a security regarding state status!
Umbea UNAKUSUMBUA, they didnt ask for it, but the goverment thought there is a need, that means the country isnt safe, wewe ni nani KUSEMA huoni sababu?
flora mbasha bonge la kada la ccm,..anakatikaga viuno kwenye kampeni za ccm,..hakuna upako hapo ni fisadi tu,..