Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
Sijui kama Congo kuna wahuni wanaofanya vurugu kwenye mikutano ya injili kwa maana ya kuwafanya hao askari wawazuie kusogea mkutanoni na kuuvuruga! Nadhani ni vurugu baina ya makundi ya kisiasa ambapo siraha za moto zinatumika. sijui kama hao askari wanaweza kuzuia risasi isimfikie Flora.Hapo ni Deteriorated Republic of Criminals (DRC), you should not expect less!