Flora mbasha na walinzi wake!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flora mbasha na walinzi wake!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by chopeko, Oct 4, 2012.

 1. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,410
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Habari wana JF.. Me swali langu dogo ni kwamba kuna sababu gani za msingi kwa huyu mmama mwimbaji wa Nyimbo za Injili na mume wake kulindwa kiasi hiki??? Sijaona logic yake kwa uelewa wangu.. Pengine mnaweza kuwa na maoni tofauti na mimi na I can learn something through your Quotes. Welcome Wadau!!!!
  I present..!!!!!


  8.jpg cccongo.JPG DSCN8037.JPG mbsha.JPG mbasha.JPG
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Walinzi wake?
  Huoni hapo ni DRC?
   
 3. M

  Mmeku Tukulu Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hapo ni Deteriorated Republic of Criminals (DRC), you should not expect less!
   
 5. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,410
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  yes ila inaonekana she hired them.
   
 6. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,410
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  duh nimekusoma boss
   
 7. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 8. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Umbea UNAKUSUMBUA, they didnt ask for it, but the goverment thought there is a need, that means the country isnt safe, wewe ni nani KUSEMA huoni sababu?
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa kwa utapeli na uhuni hawana mfano. Wanajua kuwa wabongo wanashabikia mambo ya Marekani ya supastaa na mabaunsa. Hivyo wanawaibia akina Mbasha kwa sababu wanapenda kuiga iga mambo ya Marekani. Nimependa term Deteriorated Republic of Criminals. Acha niongeze DRC ni Dead Ragtag Criminals. Hata hivyo tusiwacheke wakongomani kwa hata sisi wasanii wetu wanatupeleka kule kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda Jamhuri ya Migongano ya Tanzia au tuseme Jumuia ya Mafisadi wa Tanzania.
   
 10. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,410
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  using too much of your energy (save it)..!!! that's why I said nionavyo mimi and if i'm mistaken correct me from wrong.. stay calm....!!! hatugombani mkuu
   
 11. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,410
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  well said mkuu
   
 12. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ni mwizi na tapeli.:spy:
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Huyu mumewe flora sijui stage show wake ananiachaga hoi. Hivi hapo amevaa viatu vya bluu kama shati ama macho yangu?
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kuna vita na fujo nyingi sana kule DRC so kila kusanyiko lazima serikali iweke ulinzi wa kufa mtu. Haitoshi kwamba kupiga nao picha basi ni walinzi wake. Yes ni walinzi but siyo her bodyguards!!!
   
 15. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,410
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  ndo hivy styles tu hizo za kisasa!!!
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Not real, Kabila anaonyesha ukarim kwa wa TZ waliomlea.
  So ukienda kule na akajua basi utapata ulinzi wa uhakika anajua wa TZ si watu wa vita
   
 17. c

  cos mak New Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukishakuwa maarufu kuna taabu zake ila kweli DRC si lele mama bora wamlinde tu
   
 18. Lait noir

  Lait noir Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
   
 19. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Dah, aisee sasa nimejua kumbe MUNGU pekee hatoshi!!!hata hawa watumishi wanahofu na Mwanadamu??

  [​IMG]
   
 20. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Tuiombee DRC lakini siyo kuitunuku majina mabaya coz hata wao wangependa kuwa na aman kama yetu but wachache wameivuruga,je Tanzania tunajuaje kama tutabak na aman hii milele,je siku na sisi tukiwa wakimbiz alafu waanze kutupa majina mabaya tuna-feel ashamed na nch yetu,
   
Loading...