Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo


na we usiongee maneno mengiiii kama umeandika la maana!

kisheria na kidini flora/emmanuel hastahili kuolewa /kuoa tena!
hawajapeana talaka na wote wapo hai!

AMEAMUA TU KUTII KIU YAKE!
of WHICH I UNDERSTAND ,anyway!
 
Mungu huwa analipa hapa hapa duniani. Believe me huwa mwanamke atakipata anachostahili.
 
Hiyo ndoa ni ya kufungua kwa mkuu wa wilaya au mchungaji? Na kama ni mchungaji atakuwa wa kanisa gani? Na hiyo album inahusu mahubiri ya mtume na mtakatifu bashite au Yesu Kristo? Na huyo muoaji anajielewa au ni zuzu?
 
Hivi kumbe inawezekana ukaachana na mwanaume bado ukaendelea kutumia jina lake?I mean Flora Mbasha hilo jina la Mbasha si la mumewe Imma?Au analilipia?
 


Fanya kazi wewe na angalia maisha yako, kwa hiyo unakaa ukitegea kusubiri Flora apate shida ili ufurahie? Tafuta hobby kama hauna na acha kufwatilia maisha ya watu!
 
Hebu someni maandiko vizuri najua alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe isipokua kifo au uzinzi so ukithibitisha mwezako anachepuka talaka tu ingawa Mungu haipendi kwakua hapendi kuachana.
Lakini baada ya hapo hamruhusiwi kuingia kwenye ndoa mpaka mmoja wenu afe. Labda Imma ataaga hizi siku zilizobaki tusubiri..
 
Umenena vema. Nashangaa watu wanavyomuhukumu utafikiri wanajua aliyokua anapitia
Mi nadhani anahukumiwa kutokana na yeye kuaminika kama mtumishi wa Mungu kumbe la! Sidhani kama angekuwa mwanamke wa kawaida ingekuwa issue..
 
Hivyo Flora aliye tubu anapata uhalali wa kuolewa kwa neno linalosema:- yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndugu mume au mke yu huru.
Pumbavu kabisa wewe...

Unajua maana ya kiapo cha ndoa..


Ohhh! Nimesahau...walokole ni kama nguruwe tuu...Kuoa na kuacha inaruhusiwa huko kwenya makanisa yenu uchwara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…