Flirting. . .

...lol... Acheni vituko nyie... Mie ni mtaalamu wa pishi la vitumbua. Karibuni weekend home mjione...lol
Mbu na Eiyer you have been misses jamani. Naamini nyie ni wazima.
AshaDii mie mbona nipo jamani....dahhh, naogopa kutia maneno mengi nisijeonekana na flirt humu! Lizzy mnoko na mada zake siku hizi, ahh!
 
Last edited by a moderator:
i wouldnt mind if my girl flirted with another woman...actually that turns me on quite alot...but flirting with niggaz..no no noooo...dont entertain that...bt i guess ur right its always nice to flirt with your partner bt if you do flirt with ur partner it doesnt feel as good as flirting with a stranger....
 
nataka niweke waume za watu kwenye ignore listi yangu...
sipendi dhambi mimi....
Smile naomba mimi usiniweke kwenye ignore list maana siyo mume wa mtu bali mume wa paka.
 
ahahaaaa aya bwana ....nimekutania dada yangu si unajua mimi vitu used situmii?
mimi mzima kabisa kama unavoniona hapo kwa avatar
 
Sijasema kitu lakini

Lakini si ana mtu hapa? Ndio mshaanza kuflirt hivo

Kumbe mna open marriage? Flirting ruksa, haya jirani

...Ohooo, sasa Rukhsa ya ku flirt pia unatoa weye? amaaa!? hahah..

Sasa MwanajamiiOne huoni tofauti kati ya RR na RussianRoulette sio? Kama sio Mbu, ningeflirt na wewe...
Uzuri wa flirt inaweza kutumika kutongozea.......

... RR heshima yako kiongozi...

hiyo 'uzuri wa flirt inaweza tumika kutongozea' umenikumbusha zile za unapopigwa kibuyu/kukataliwa unajidai
was only flirting bana, mie ninaye Soulmate wangu MwanajamiiOne mzuri tu, tena wenyewe tunapendana sana...hehehe...
 
Last edited by a moderator:
AshaDii mie mbona nipo jamani....dahhh, naogopa kutia maneno mengi nisijeonekana na flirt humu! Lizzy mnoko na mada zake siku hizi, ahh!

hahahah.... kwahio lolote la ziada ulitaka niambia bora libaki moyoni na tumboni likutie vidonda? Acha hizo Mbu usiniambie hujui tofauti au huja flirt siku nyingi hadi unasahau jinsi.....lol
 
Last edited by a moderator:
If you have a partner, don't flirt with other people. If you do it secretly, then you are cheating (or on your way to). If you do it in front of him, then you have no respect for your relation.

Wooord! Simple and clear............hakuna siasa hapo kabisa.
 
ahahaaaa aya bwana ....nimekutania dada yangu si unajua mimi vitu used situmii?
mimi mzima kabisa kama unavoniona hapo kwa avatar

I know Smile kid sis... Najua wewe ni bikra na lazima upate kitu unused..... lol... nilishasema hapo nyuma, usiflirt kama hujui rules of the game. Na moja ya rules of the game kama you flirt with someone usimwambie mtu wake wa mhimu hasa Mpenzi wake kua hua mna flirt. Unakua umevuka mpaka.... Maana kumbuka, at the end of the day you are having fun na no Strings attached. Ingekua ni kweli usingethubutu kama wewe kweli mjanja...lol Na I know kua ni mjanja.
 
hahahah.... kwahio lolote la ziada ulitaka niambia bora libaki moyoni na tumboni likutie vidonda? Acha hizo Mbu usiniambie hujui tofauti au huja flirt siku nyingi hadi unasahau jinsi.....lol
AshaDii, ....wajua, kuna matendo mie mbu naweza yafanya au maneno naweza tamka watu wakadhani na flirt.
Kuepusha shari mie humwambia napenda kuangalia reactions za watu, but I dont mean anything malicious.

Ushauri nilopewa na BelindaJacob (ninaoutafakari kwa kina) ni kwamba nifanye "at my own risk"
...:eek2:
 
Last edited by a moderator:
Shem RR nakutakia siku njema... alafu Smile ana flirt na hommie wako pm, msaidie hapa jamvini yupo lonely....

@Smile ? Kuna sharti lake kaweka hapa (la ignore list)....well....wacha nifanye la muhimu.....
BTW: AshaDii nikikiuta shem nakua nimeflirt na wewe?

...Ohooo, sasa Rukhsa ya ku flirt pia unatoa weye? amaaa!? hahah..

... RR heshima yako kiongozi...

hiyo 'uzuri wa flirt inaweza tumika kutongozea' umenikumbusha zile za unapopigwa kibuyu/kukataliwa unajidai
was only flirting bana, ....

Hahahaaa chezeya kibuyu Mbu.....
Unapunguza maumivi kwa kusingia flirting
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa chezeya kibuyu Mbu.....
Unapunguza maumivi kwa kusingia flirting

....hahahahaha! RR You Know exactly what am saying!...:second:
 
Last edited by a moderator:

Kuna babu yangu mmoja humu aliniambia....."usiichukulie seriasi JF" naanza kumuelewa alimaanisha nini.
 
.....:spy:....khaaaaaaaaaa?!!!!....astaghafirullah, astaghafirullah, astaghafirullah!.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…