Flirting. . .

Flirting. . .

We mwenyewe cheater. . .mkeo hata kufuta kalaptop kako humruhusu. Alafu acha kutafuta uchokozi. . .ukipigwa mi sikuombei uachwe.

Si bora kupigwa,nshatishiwa kukatwa korodani, ila ujue bishanga nouma hatishiwi nyau.
 
Kila siku nakumbukaga ule uzi wako wa what is the bad about me, hahaha sweet revenge!
Unless u give ur partner the taste of his own medicine labda hatokaa ajue machungu yake! Dawa ndo hiyo tu,lol!

Hahahaha. . . kwahiyo akileta ujuaji na mie namrudishia ehhhh? Kikimuuma ndo atajua sio.

Two wrongs don't make a right. Just talk, communicate. Mbona mimi nisie kujua nimesoma thread na nimeelewa kua you don't like it? Basi yeye anae kujua na anae kupenda na kukutakia furaha ataelewa pia.
 
That is the only way,lol! If all cheaters were cheated right on their faces nadhani kila mmoja atajua uchungu wake na tutaacha sote! My wild mind, don't mind me,lol
Hahahaha. . . kwahiyo akileta ujuaji na mie namrudishia ehhhh? Kikimuuma ndo atajua sio.
 
I hate you Bishanga Babu jinga Abashaija Zee Lenye Gia Box Mbovu.

I know...i know...i know.....kwa hiyo unanishauri nini ngosha?
Mimi na wewe ni kitu kimoja,haina mana....haina mana kuzuriana.
Au?
 
Hahahahaha, sasa hapo unataka kuanza name calling.
  1. Maybe ni mtu na mume wake kweli?
  2. Maybe respective partners wao hawaoni shida?
  3. Maybe AshaDii and Kaizer think it is not important to discuss it with their respective partners as they consider it not to be that bad?

What I believe in is only relevant for me and my man because we have discussed about it and we are satisfied that we see the same things in it. Siwezi kumsemea AshaDii au Shemeji yangu Kaizer.

Ngoja nimwite AshaDii tuone kama atakuja kukujibu (She is very busy lakini, sijui kama ata pata time. lol)

Haya...kama wenza wao wanajua kuwa wako hapa na hawana shida na wao ku-flirt basi poa. After all, to each his own, right?
 
From the beginning anajua hupendi na itakuumiza, still anafanya, why?! Hata mtoto mdogo anajua no one likes to be cheated! Praktiko ni muhimu saa zingine, sorry to say aisee (mind u mwenzi wangu yumo hunu na ananisoma, na naongea hii mbele yake. Kazi ni kwake, chaguo ni lake)
Two wrongs don't make a right. Just talk, communicate. Mbona mimi nisie kujua nimesoma thread na nimeelewa kua you don't like it? Basi yeye anae kujua na anae kupenda na kukutakia furaha ataelewa pia.
 
Kwa mtaji huo (na ukiingiza katika mlinganyo multiple IDs) basi ni wachache sana ambao hawa-cheat humu. Manake kila siku kuna IDs mpya na kila siku watu (tena wengine wanasema wana wake na waume) wanaitana wapenzi humu. Go figure....

kuna familia zenye hadi wajukuu 'waliopatakana' kwa flirting ... ; btw kama PMs zingekuwa confidentially delivered kwa baadhi ya spouses za wana-JF, rate ya brain concussion inge-shoot up exponentially...
 
Lizzy,nipe siri ya mafanikio yako,maana..............kuna mtu anataka kujirusha toka ghorofa ya kumi mafuta house.
 
Last edited by a moderator:
Why not?
Kule ni kutaniana, unashindwa nini kutaniana na mtu wako?
Hivi kwa mfano ukimwita mkeo honey au sweethert lakini kwa utani (kwamba humaanishi kwa kumwita hivyo) maana yake nini? Naona kama inakuwa weird hivi! Lakini kwa mfano nikikwambia hapa jamvini kuwa "Jamani Lizzy nimekudondokea mbaya" nitakuwa naflirt na kwangu mimi hii inamake sense kuliko nikimwambia mke wangu maneno hayohayo maana itakuwa sio kuflirt tena bali namwambia ukweli tu.

Na kwa kweli kama kungekuwa na raha kuflirt na wapenzi wetu zaidi kuliko watu baki...I can bet my last coin, hili jukwaa la MMU lingepoteza mvuto kwa asilimia 50 au zaidi!
 
nataka niweke waume za watu kwenye ignore listi yangu...
sipendi dhambi mimi....

mpendwa huwezi kuwajua kila mtu anajidai yuko single humu tena wengine hadi wanatumia ID za kike.
 
kuna mwanaume niliflit nae huku jf nimemnyima tunda....
anadai kumbe nilikuwa simpendi nilikuwa namchezea nampotezea
kwani kuflirt na mtu ni kumpenda? au sielewi jamani
Smile , kume we 'mnyimi' hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom