Flirting. . .

Flirting. . .

stop being conservant, I am not a lez but i enjoy womens co but mens more,

wat is wrong with me saying you have a perfect arse? if it true?
Hhhmmm. . . Erry binafsi siwezi. . .sitojua pakuanzia wala pakumalizia. Ukiniambia hivyo nasema ahsante alafu basi. . .there won't be muendelezo wa 'ohhh I like your boobs. . .are they real?!'

Kongosho hata mimi sijui inakuwaje aisee.
 
Last edited by a moderator:

teh teh teh. usifiagi your fellow ladies? alafu wewe na Kongosho mnaruka post? hio ya Matola hujaelewa?
 
Nawasifia na 'umependeza',you look hot/good',umetoka bomba,that (skirt/top etc) is sexyyy' ila sifiki kwenye viungo. . . labda miguu.

Matola malizana nae. . we ndio mtaalam.
 
Have u had sex karibuni? unaonekana una tension kali sana Lizzy.

tumeshindwa kuelewana unanirusha kwa Matola?
 
We Erry acha tabia mbaya. . . maswali gani hayo?!

Nataka umjibu swali lake bana. .
 
Last edited by a moderator:
Niombee basi ni flirt nae, kanivutia kwel kwel.

Umeona kasema mwenyewe hajaridhika. . .embu mridhishe kabla sijatoa ruhusa ya kuendelea na hatua ya pili.

Matola. .mwanaume kamili eti anaomba uflirt nae. Ruhusa ya mwanamke kamili unayo kama utapenda. .. . .
 
Last edited by a moderator:
Umeona kasema mwenyewe hajaridhika. . .embu mridhishe kabla sijatoa ruhusa ya kuendelea na hatua ya pili.

Matola. .mwanaume kamili eti anaomba uflirt nae. Ruhusa ya mwanamke kamili unayo kama utapenda. .. . .
Do u think this is good idea?....
 
Hapana baki nae, hamu isha nitoka. sipendi wanaume wa kuomba ruhusa. hua hawajuagi kuflirt.
 
Do u think this is good idea?....

Ahhhh naona kashaleta mapozz...eti hajafurahia ulivyoomba ruhusa ya mwanamke kamili.

eRRy acha maringo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom