Flight that took off in 2017 landed in 2016

Unafahamu kwa sasa hivi Tanzania ni saa kumi na dakika tano jioni (04:05PM) Na New York Marekani ni saa mbili na dakika tano asubuhi 08:05AM ......Think outside the box jombaa
Hilo nalijua vizuri ndugu, rudi kwenye coment nilikua najibu kitu gani
 
Hilo nalijua vizuri ndugu, rudi kwenye coment nilikua najibu kitu gani
Nimekusoma mkuu nimepitia uzi uliomjibu jamaa....ujue mkesha wa mwaka mpya nilipiga sana tuviroba naona akili yangu bado haijakaa vizuri
 
ndege.jpg

Ndege ya Marekani UA890 Boeing 787-900 ilitoka mashariki mwa dunia huko Shanghai wakati mwaka ushabadirika na kuelekea magharibi mwa dunia huko San Fransisco ambako siku bado haijabadilika, hivyo ikafanikiwa kuweka rekodi ya kuruka tarehe 1 Jan 2017 na kutua tarehe 31 Dec 2016.
Hivyo kama angekuwa mtu amefariki China na kusafirishwa na ndege hii UA890 Boeing 787-900 kwenda San Francisco huko America angekuwa amekufa mwaka huu na kuzikwa mwaka jana.
Nothing impossible under the Sun
 
View attachment 453947

inabidi tufatilie hizo time zones. Ila ni interesting.
 
Nilipika pilau mwaka huu tar 1/1/2017, nikaruka kwa ungo hadi America na nikafika huko tar 31/2/2016. Nikala pilau langu vizuri kabla ya kuuona mwaka mpya.
 
Hushangai kufa jua likiwa Magharibi na kuzikwa jua likiwa Mashariki.....Ukistaajabu ya Musa......
 
Umenikumbusha enzi hizo shule....."the Sun never set in Great Britain".......
 
Mkuu soma thread #55... hope unaweza ukapa concept.
Bado hata sijaielewa thread yenyewe, maana anaonekana kama hana uhakika kama dunia au jua vinazunguka, maana mimi ninavyojua dunia na jua vyote vinazunguka tena kwa speed kubwa

hiyo ndege kushinda speed ya dunia ni kwa namna gani?
 
Mkuu hata kusoma hujui.? Au
Maelezo yamesema Boeing 787-900.
Na ka picha ukawekewa we bado unasema panga boi. Duhhhh
Hahaha kweli unafikiri hajaona hilo pipa ni Boeng!
Huyo anahasira zake tu na zile Bombardier za mkulu.
 
Bado hata sijaielewa thread yenyewe, maana anaonekana kama hana uhakika kama dunia au jua vinazunguka, maana mimi ninavyojua dunia na jua vyote vinazunguka tena kwa speed kubwa

hiyo ndege kushinda speed ya dunia ni kwa namna gani?
Nafikir kuna concept unaisahau hapa.. kwamba dunia inamove with its atmosphere... vile vile movement ya vitu katika duniana havina uhusiano na movement ya jua due to relativity.

Imagine nzi ambae anaruka kwenye chombo (basi) kinachotembea zaidi ya km 80 kwa saa... unafikir kwamba anaweza kufeli kutoka point A hadi point B kwa vile gari liko speed???

Je unajua kwamba alaska na russia (Diomide islands ) zimetanganishwa kwa umbali wa maili 53 sawa na km 85km tu...

Na kuna kisiwa kinaitwa Little Diomede (U.S) na big Diomede (Russia) vikiwa na umbali wa 2.5 mile sawa na 4km. Kuna tofauti ya masaa 21 kati ya visiwa hivi viwili kiasi kwamba kisiwa cha Big Diomede sometimes kinaitwa Tomorrow Island na kile cha Little Diomede kinaitwa yesterday island.....
(Kama nitakuuliza swali ni muda gani unaweza kuchukuwa kutoka kisiwa kidogo kwenda kisiwa kikubwa??)...
 
Back
Top Bottom