Flight that took off in 2017 landed in 2016

Na watakuwa walifanya makusudi hiyo flight na booking ilifanywa long time before, na mpunga kampuni imepiga kwa tiketi za flight hiyo. Yaani hapo watu walipiga hesabu zao wakaona inawezekana basi wakapanga flight.
Pia imeipa umaarufu zaidi hiyo Kampuni ya ndege,ni kama aina fulani ya commercial advertisement,ubunifu mzuri sana,hongera zao,watu wanaona mbali sana aisee!!
 
Pia imeipa umaarufu zaidi hiyo Kampuni ya ndege,ni kama aina fulani ya commercial advertisement,ubunifu mzuri sana,hongera zao,watu wanaona mbali sana aisee!!
Ukisema wanaona mbali inakua haijakaa poa kidogo kwa sababu siyo shirika la ndege la kwanza kufanya hivyo ni kitu ambacho kipo kwa muda mrefu sana na mashirika mengi ya ndege huwa yanafanya hivyo..Inaitwa Back from the future...On January 1st 2016 Hawaiian Airlines flight 458 left Tokyo at ten past midnight. Happy New Year! When it landed, the local time in Honolulu was 11:25AM... December 31st, 2015..Kwa mfano kungekua na flight ya moja kwa moja tokea Tanzania kwenda UK na hiyo ndege ikatumia masaa mawili kwa vile Bongo na UK kipindi hichi tuko mbele kwa masaa matatu unaweza ukala mwaka mpya bongo ukamaliza ukapanda ndege ukafika UK ukasubiria saa nyingine moja ushehereke mwaka mpya kwa mara ya pili.
 
kiufupi nchi zilizo magharib huwa nyuma kimasaa kuliko zilizo mashariki,mambo ya latitude hayo, marekani (San Francisco ) ipo magharibi zaidi kadhalika China (Shanghai) ipo mashariki sana, hivyo basi ndege ikitoka China kuelekea Marekani itegemee kukuta muda mkubwa ambao ulishatumika pindi ipo china, kama ni tarehe 08 ulishaitumia China tegemea kuikuta America. jamaa alikuwa sahihi kabisa
 
Hapana, not one way. Tulikuwa na connection Dubai. Na hiyo badiliko ya mwanga na giza sehemu moja ilikuwa kutoka Dubai hadi Marekani ambapo ilichukua masaa 17+ angani.

Ndege za ER
masaa 17 + kutoka Dubai hadi Marekani. mwaka gani huo na ilikuwa ndege ya aina gani na jimbo gani ulikwenda. mbona saa nyingi mno.
 
Back
Top Bottom