Balozi wa Njaa tokea Tanzania.
Flaviana Matata. Mimi sijapenda hizi picha aisee huyu model au ? Daah
kweli kakosa ubunifu vazi gani sasa...
uongo dhambi kachoka kiakili.
Balozi wa Njaa tokea Tanzania.
Flaviana Matata. Mimi sijapenda hizi picha aisee huyu model au ? Daah
kweli kakosa ubunifu vazi gani sasa...
uongo dhambi kachoka kiakili.
Beautiful 😍
Tuonyesheni tumbo za wake zenu na manzi zenu huko Kibera na mtogole,
Wake zenu wanavaa hata crop top kama Flaviana?
Mmekalia ooh mbaya, mbaya Gani Sasa,
Uzuri hela😎
Mdeal na broke gals huyu mwacheni