i also want a flat stomach kwi kwi kwi...
Duh! sijui nikuite doctor? maana maelezo yako yamekuwa mazuri na ya mafundisho kweli. Ila sasa ningependa kupata website hio ili niisome kwa undani zaidi. Asante kwa mchango wako ndugu.
Na huu ni ushauri mwingine. Kama ni mnene mno na unajisikia taabu kufanya mazoezi, tafuta mashine inaitwa 'Home Jogger'.
Hii mashine unalala kwenye mkeka/kapeti,unaegemeza miguu yako kwenye home jogger, inatumia umeme, hivyo inatetemesha mwili wako wote kwa muda wa dakika 30 unakuwa kama umefanya jogging.
Sambamba na hiyo home jogger, unauziwa na 'Slimming Belt' inayotumia umeme, huu ni mkanda wa kufunga kiunoni na kulibana tumbo. Unatakiwa kunywa glass 4 za maji za robo lita. Tumbo litajaa maji. Ukiwasha sliming belt, inayachemsha hayo maji tumboni kwako, maji hayo yanayeyusha mafuta tumboni, utapata choo laini na mafuta yatapungua baada ya wiki 2 za matumizi ya mkanda huo. Yatakwisha kabisa, Flat Stomach baada ya wiki 6
Utanijulisha uko wapi ili nikuelekeze mahali pa kupata mashine hiyo na mkanda wake.
NB. Sambamba na matumizi ya mashine, wanataka ule matunda na mboga mboga na glass 12 za robo lita za maji kwa siku.
Inawezekana kweli zikawa ni mashine feki in a sense kwamba genuine ni very expensive ila sikubaliani kwamba ili kuchoma calories lazima utumie efforts. Sauna inachoma calories with no efforts. Hizo mashine na mkanda wake zinachoma calories kwa infrared kama sauna.Hizo machine zote feki! Wanazimarket kwa sababu wanajua watu wanataka mafanikio bila kufanya effort.
Ili kuchoma calories lazima utumie effort, mashine nzuri ya nyumbani ni ile ya baiskeli au eliprical trainer kwa sababu haiumizi joints.
BMI ama kirefu Body Mass Index ni kipimo kimojawapo cha kuonyesha kiasi cha mafuta mwilini mwako. Inapatikanaje hiyo BMI?
Pima urefu na uweke katika kipimo cha mita (m) - mfano 1.5m
Pima uzito na uweke katika kipimo cha Kilogramu (Kg) - mfano 60Kg
Fanya hesabu ndogo;
BMI = uzito/(urefu X urefu)
BMI = 60/(1.5 X 1.5)
BMI = 26.7 Kg/m-squared.
Kwa hiyo fanya hesabu hiyo na ukikuta una BMI zaidi ya 25 anza kusikitika! Na fuata ushauri wa hapo juu haraka iwezekanavyo!
Red wine haikati uzito ila kwa argument ya pale juu itakuwa kama pombe kali, huwezi kunywa nyingi kama bia ndio maana generally unakuwa umepunguza amount ya calories unazozimeza.
Red wine na pombe in small amount inaweza kupunguza risk ya cardiovascular disease. Tatizo una ubavu wa ku-control amount unayokunywa?
Pombe na hasa zile kali zinaharibu maini, ubongo, moyo.. hapo sasa! Chagua kusuka ama kunyoa.
BMI kati ya 18.5 na 25 ni NORMAL.Je BMI ikiwa under 25 kuna madhara gani na kwa kawaida binadamu anatakiwa kuwa na BMI ngapi?
Za leo wapendwa, ningependa kufahamu hivi *pombe huongeza minyama uzembe ya tumbo au kukufanya unenepe. Je na nimejaribu kupunguza tumbo kwa mazoezi ila naona kama nazidisha tuu sasa. Je kuna kitu cha kufanya zaidi! Ningependa kufahamishwa kwa yoyote anayejua. Shukrani.
.Let me repeat!! You can not "SPOT REDUCE" any device/diet that claims to do this is a fraud! The only way to spot reduce is through cosmetic surgery i.e liposuction.
.
Wazungu mpaka leo hawaikubali accupancture ya Wachina, but belive me ndio the best anaesthesia so far, wazungu cha mtoto.
Nimekuambia wana slim belt ya kuyachemshia maji tumboni kwako kwa kutumia infrared na unaharisha mafuta. bado unapinga na kuja na liposuction.
Kwa taarifa yako China inaongoza kwa watu wenye kuishi miaka mingi zaidi duniani. miaka 100 ni kibao mpaka kuna mtu mwenye 148!. Wazungu hawana lolote!.
Kama uko Dar nenda pale Tabata, hospitali ya wachina inaitwa Aroma, utapatiwa vidonge vya kupunguza unene, unaharisha mafuta mpaka unapungua. hii siyo ya kusikia, emu wangu mmoja aliwahi kutumia, tatizo alikonda kwa ghfla sana hali iliyopelekea kunyorodoka na kudorora hadi maumbile yake yenye maslahi yakiwemo maziwa and all of a sudden.