Mosiwakaya
Senior Member
- Jul 22, 2014
- 185
- 35
zinakamata fresh mpaka vijijin mkuu? binamutz
mkuu je ikiwa inch 24 ufanisi utapungua? msweet
kwa vijijini sifahamu mie natumia Samsung led tv inch 32 ipo vizuri sana ninachannel karibu 200 na ninatumia antena ya kawaida tu.
Gharama yake ni shs ngapi ndugu?
Smart tv lk6 wapi wp? Mm Nahuatl inch 32 ni2,m
Nchi 32 bei gan mkuu?
jamani mbona me ninayo hii tv yenye kingamuzi ndani lakini kila nikisach nakuta channel zote zimefungwa na kikufuli ...au kuna utaalam wa kuzifungua??